MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Umedoda mwenyewe unikome sikujui haunijui.Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.
Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
Mapenzi tangu lini yashawahi kuwa matamu mpenzi.Huu ujinga wa wanawake kutaka kuhongwa ndio umeharibu utamu wa mapenzi...
We si unauza huwezi jua...Mapenzi tangu lini yashawahi kuwa matamu mpenzi.
Wewe ndo unanunua au.We si unauza huwezi jua...
Kwanini wanaume watafute pesa wewe ni unaulemavu kwamba huwezi tafuta pesa?Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
Umedoda mwenyewe unikome sikujui haunijui.
MakubwaKwani nani anataka kukujua wewe? Umedoda ndio acha kukasirikia ukweli[emoji23][emoji23]
Weeeehaibani tena😅
hii ni bwanga inch 17 no way😅Weeee
Sema kweli 😅
Ila akipata size Yake itabana tu
Pesa zenyewe za kuhonga wanazo sasa? 🤣🤣🤣
1.pesa tunazo, wa kuwahonga wako wengi.Hivyo buku 10 inakutosha sana.Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede.[emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna,
Wanaume Tafuteni hela jamani
Nawapenda tena nawapenda sana.