Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Sio kwamba Yanga anaandaliwa mazingira magumu ya kucheza match Moja kila baada ya saa 24?Ni kama vile yanga wanaandaliwa manzingira ya ushindi,kama mtibwa anacheza kesho halafu apumzike siku 2 tu kabla ya kukutana na yanga ambao wamelilax tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Karia kafanikiwa kuliko wote hao takwimu hazidanganyi ongea jinginekatika mashirikisho mabovu yaliyo wahi kuwepo, hii TFF chini ya Kaaria ndo mbovu kuliko zote zilizowahi kuwepo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga haitachukua ubingwa mpaka uyu rais wa TFF aondoke.
Kama alivyowahi kujiapiza Jamal Malinzi dhidi ya Simba enzi zileee, na ikatokea kweli.Yanga haitachukua ubingwa mpaka uyu rais wa TFF aondoke.
Kama alivyowahi kujiapiza Jamal Malinzi dhidi ya Simba enzi zileee, na ikatokea kweli.
Karia kafikiwa kuliko wote hao takwimu hazidanganyi ongea jingine
utoto raha ..mwaka 1980 tunaenda AFCON zilikuwa timu nane tu zinazoqualify..sembuse hii timu 24..tulienda Gabon under 17 uongozi wa nani?Karia kafanikiwa kuliko wote hao takwimu hazidanganyi ongea jingine