sasa mkuu!!! hapa tutajadili nn??
Leo World Cup wanacheza nani na nani?
Kuna jamaa kaniambia sio mazoea mazuri kuwa na passwords katika simu ya mkononi,kaniachia hapo!nijuavyo mimi kila mtu ana faragha yake kwa hivo ni muhimu kuwa na password.
Mechi za jana zilikuwa nzuri sana sijajua za leo
sio lazima kuweka bandiko kuchangia tu inatosha