atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,724
Habari za asubuhi WanaJF,
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Kuna binti nilimtongoza muda mrefu ila akawa analeta mapozi kama unavyoelewa dada zetu hawa,basi bhana juzi akanipigia akaniambia leo ana hamu ya kutoka out,kama kawaida yangu mimi sio mtu wa kujivunga,.
Basi tukapanga time then tukakutana maeneo ya Sakina,nipo Arusha,basi mimi nikampa uhuru wa kuagiza kitu chochote anachojisikia. Kwa upande nikaagiza kitu changu cha muwa(k vant)na tonic water yeye akawa anajiumauma then akaagiza Bavaria. Basi bhana tukawa tunaendelea na story huku nikishushia k vant yangu mdogo mdogo lakini nikicheki yeye ile bavaria wala hajaifungua ni story tu nikamwuliza vipi mbona hunywii kinywaji chako? Akajibu kwa mapozi nashangaa huyu mhudumu hajanifungulia
.
Basi bhana nikachekea moyoni kutokana na life style yake anayoishi,sikutaka kumsaidia bali nilimwita mhudumu nikamletea noma wewe mbona mbona humfungulii wife kinywaji chake
? Mhudumu na yeye sijui alinitamani sababu alimpa makavu live dada hii si unafungua mwenyewe tu jamani,basi akamwelekeza jinsi inavyofunguliwa,dah nilimuonea imani coz ile confidence aliyokuwa niliona imepotea kabisa. Hakuwa na mood kabisa ya kukaa pale Tena,mwanzo yeye ndio alikuwa ametawala maongezi ila baada hilo tukio mimi ndio nikatawala maongezi,kilichoendelea baada ya hapo ni siri yangu
Nilichotaka kusema wakuu haijalishi uwe mwanaume au mwanamke pendelea kuagiza kitu ambacho unauelewa nacho au unaomba ushauri,waswahili wana msemo wao unaosema "kuuliza sio ujinga".