imekaaje hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

imekaaje hii

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MUSINGA, Nov 4, 2010.

 1. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  unakuta uko na uhusiano na mtu wa muda mrefu sana na siku zote haonyeshi kama anauhitaji huo uhusiano,ila anaponusa kuwa kuna dalili ya kuachwa anaanza kuonyesha mbwembwe za kila aina na kufanya yale uliyokuwa ukiyahitaji mwanzoni,ni uoga au alikuwa anakujaribu.
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135  HAPO KWENYE REDI Utamu kuacha
   
 3. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  hahahaaaa kwa hiyo anakulia mingo
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Na akikurudisha kwenye line lazima alipe kijumla jumla
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama KOBE
   
 6. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuachwa noma ila kama ukiachwa kubaliana na hali halisi kwani kulazimisha mapenzi sio wala nin unawezajipa matatizo makubwa at the time ungepishana nayo kama ungekubali, mimi binafsi mtu akiniacha poa tu
   
 7. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  inabidi na mimi nikae kimachale au sio
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kwakweli watu huwaga hatuthamini vitu mpaka tuone ni karibu na mwisho au kuondoka.
   
Loading...