Imekaaje hii Tangazo la Airtel na Vodacom

mrimbeni

Member
Dec 10, 2015
30
16
Leo katika kipindi cha Jahazi Clouds FM nimesikia tangazo la Airtel na Vodacom yakitangazwa katika kipindi hicho je inawezekana kwa washindani wamoja katika biashara kudhamini kipindi kimoja cha redio? katika sheria ya ushindani wa biashara imekaaje hii?
 
Back
Top Bottom