Imekaaje hii? Ex boyfriend anaposhindwa kumove on

Wapo wengi wa hivyo, kuna huyu imepita 5 years lakini bado anadeka kwangu, ameshaoa na mtoto Ila Ni msumbufu kero yake si ya kitoto, hadi huwa namkashifu akome lakini wapi, nakushauri potezea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena dada...... Juzi nilikuona bana vp naweza kucheki pM dah kitambo sana ujue, nilishindwa kukuita tu.

doggystyle changeinarudi shehe
 
Utafiti usio rasmi unaonesha kuwa; Mtu akianza mahusiano, mara nyingi (bila sababu za msingi) atajaribu kuwa na mahusiano na watu wasiopungua watano (5) kabla ya kuamua kutulia na mmoja. Now guess what... mara nyingi huwa anarudi kwa yule wa kwanza provided that hajaona jipya kwa wengine. Kuna wengine hawarudi kwa wa kwanza, bali wanakomaa na yule aliyewazidi wengine kwa vigezo fulani.

Situation yako inaweza kuwa inatoa picha kuwa; Jamaa ameona wewe unafaa kwa kubadilishana mawazo, una attitude nzuri, ni mshauri mzuri, uko friendly etc - lakini on the other hand huenda kuna kitu kidogo sana anakosa kwako, na kukwambia hawezi; so yupo anakitafuta hicho kwa wengine ila bado umuhimu wako kwake ni mkubwa.

Namfahamu jamaa ambae alikuwa anachepuka kwasababu moja tu; mke wake alikuwa hapendi 'utoto'. Yaani jamaa akitaka kufanya ufundi wake kwenye 6 kwa 6 wife alikuwa anamropokea,"Ah! Acha utoto bwana!". Yaani wife hataki 'utoto wa kuchezewa chezewa', anataka kuparamiwa tu shughuli iishe aendelee na mambo mengine. Eventually jamaa akaamua akafanye 'utoto' nje huko, akirudi nyumbani ni 'ukubwa' tu. If you know what I am saying.
 
Waliopo/Tuliopo kwenye mahusiano ya girlfriend/boyfriend, unaweza kuachana na mtu ambaye ndiyo alikua sahihi kwako na ukatapa tapa maisha yako yote kutafuta mtu na hutapata kama yule uliye achana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…