Imekaaje hii? Ex boyfriend anaposhindwa kumove on

Anakusubiri ujae kwenye 18 zame, ale mziGo

InFact acha ku catch feeling haraka hvo... Muone rafiki tu
 
Mnapokwenda kwa waganga, muwe mnaulizia na expire date,maana hilo limbwata ulilomwekea ndo linakupa tabu sasa kwa sababu ulizidisha kipimo
Yaani iyo ndo shida kubwa mtu kakuendea kwa mganga ufe uoze kwake alafu eti anategemea muachane kirahisi rahisi tu, rudi kwa mganga tena ukaondoe limbwata lako uone kama atakukumbuka tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama tuliachana ila baada ya miaka kupita,kila mtu na maisha yake, alirudi akanambia.

1: sometimes nakuwaza Sana
2: "I think you're the only girl I meat
3: yo' so charming
4: mwanamke msafi, uliniheshimu, unanipigia magoti, msosi safi
5: ni mwanamke pekee ambae nikiongea na wewe tunacheka tunafurahi., utani etc
6: ulinivumulia, huniombi.........
7: mwisho anamalizia 'you're a nice girl'

All in all niliona haya maneno kawaida. Tho nikajua kumbe huwa wanatukumbuka.

..........wanaume bana.......
 
Mtu anayekupenda anafanyaga jambo moja tu, Kulazimisha muwe pamoja, hawezi risk kukuacha huru manyau yakubebe. Ni hivi, ss huwa hatuachi mazima, we always leave a gap incase of an emergency.

Mwambie asikueleze habari za wapenzi wake, kama mnapendana basi kuweni pamoja ijulikane au kama haiwezekani kila mtu abebe msalaba wake

Usishangae atakuja kukueleza mpaka madhaifu ya mkewe ila ukimwambia mwache hamwachi. Mwishowe na ww unakubaliana na hali, unaona ni sawa tu napendwa hawezi move on unaishia kuwa single parent au nyumba ndogo. Mwambie aamue moja na ww amua moja.
 
Back
Top Bottom