Imekaaje baada ya mtoto kuhitimu la 7 nikamsomesha QT?

Kwahiyo ile Elimu ya Secondary ya Miaka miwili haipo ten?
 
Hizi tarifa zako umezipata wapi mbona Necta zipo hizi
 
Attachments

  • TANGAZO_FTNA_CSEE_2024.pdf
    371.3 KB · Views: 4
Shule ni sehemu ya mtoto kujamiiana(socialize) na rika lake,
Muache mtoto aende sambamba na umri wake.
 
Kufaulu mtu wa QT ni ngumu mno maana kule kuna Paper 1 na paper 2,wakati hawa kawaida wanapiga paper 1 moja tu
1.Asisome masomo ya science
2.Awe ma akili za ziada hata kwa hayo masomo arts.
3. English itamsaidia kuelewa harka masomo
4.yaani tuition sanaa yaani .

Qt kufaulu ni mgumu mno ila ukimuwezesha atawezkufa
 
Kwahiyo ili mwanafunzi wa QT afanye mtihani wa form four sharti afaulu kwanzia d mbili?

Sio tena mtihani wa Upimaji?

Hii ni shughuli mpya kwa wana QT wapya
Anatakiwa afanye mtihani wa upimaji wa kidato cha pili (FTNA) kama wanaofanya form two kila mwaka siyo Qualifying Test (QT) na akifanikiwa kufaulu kwa angalau D mbili basi ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne (CSEE) kama private candidate.
 
Kwaiyo form 3&4 utasoma Mwaka Mmoja Alfu kisha utafanya Necta kama PC siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…