Imegoma kutoka jamaniii...

Imegoma kutoka jamaniii...

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
HABARI za mida hii wana jf...wanandugu jamani kwenye pc yangu nina folder lipo kwenye drive D lakin linakataa ku-open wala ku-delete nimejaribu kila mbinu...ndani kuna vitu ambavyo vina nafasi kubwa kweli ni kama documents zangu za zamani ambazo zilikuwa zipo before kuformating pc......


jamani naomba hata kama kuna software ya ku-delete folder ngumu mnipe nhilo folder nimelichoka wana jf.....




rgds
 
jaribu kuwasha kwa safe mode alafu ufute, au update antivirus yako alafu uscan. inawezekana kuna autorun virus ndani ya folder
 
download a free program called unlocker.
 
then nini tena kaka mbona umeniacha juu kwa ju .............
Ukisha kudownload run the try to delete the folder-litagoma tena-but Unlocker itajitokeza na some options--katka kijibox chake-chagua "delete" the OK--Ikikwambia hadi "restart" then OK and restart your PC.
 
Back
Top Bottom