Hata kwa kiswahili hawezi labda kisukumaSio kwamba hatupendi shida lugha ya malikia
Vipi haujafika wakati wa mama yako kufanyiwa interview na chombo kinachoaminika juu ya majuto yake kukuzaa
Nope, we didn't know about this!😅😅Don't you know pipo used to die in ze...in ze...in ze reki???
They died a lot of times (may be they were vampires)Nope, we didn't know about this!
You mean in ze..ze..reki. They died in ze reki a lot of times?They died a lot of times (may be they were vampires)
Tangia Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli aingie madarakani sijasikia akifanya mahojiano ya moja kwa moja na chombo chochote cha habari chenye credibility kufafanua masuala mbali mbali ya kitaifa.
Ninakumbuka tu kulikuwa na press conference ilyofanyika ikulu ambao waandishi wa habari mbalimbali wa ndani na nje ya nchi walialikwa kumwuliza maswali mbalimbali. Press conference nyingine ninayoikumbuka ambayo ilikuwa yenye maswali rahisi rahisi ni ile nyingine ambayo ilifanyika Uganda alivyofanya ziara huko kumtembelea Rais Museveni.
Tokea Rais aingie madarakani imeshakuwa takriban miaka mitatu sasa na mwakani mwezi wa Oktoba tunatarajia kufanya uchaguzi wa kumchagua Rais na Wabunge. Nadhani imeshakuwa muda mwafaka sasa kwa Rais wetu mpendwa kufanya interview na chombo chochote cha habari na hata ikiwezekana chombo cha habari ya kimataifa kama BBC au CNN.
Nimeshangaa sana juzi kumwona Rais Maduro wa Venezuela ambayo nchi yake watu milioni tatu wamekuwa wakimbizi kutokana na hali mbaya ya uchumi lakini amekuwa na ujasiri wa kukabiliana na chombo cha habari kama BBC kwenye kipindi cha hard talk ambao waandishi wake hawaogopi kuuliza maswali magumu ambayo yanaweza yakawaudhi watawala.
Rais wetu mpendwa ataweza kukanusha au kujibu maswali mbalimbali nyeti ambayo watanzania wengi tunajiuliza kuhusu tuhuma nyingi zinazoelekezwa dhidi ya serikali yake. Sasa hivi wasemaji na watetezi wa serikali wamekuwa wakina Cyprian Musiba na Mbunge Joseph Msukuma ambao ni watu ambao hawana sifa wala credibility ya kuzungumzia masuala nyeti ya kitaifa. Wao kazi yao ni kufanya propaganda na kutukana matusi na kusema ukweli ndiyo wanayoichafua CCM na kuifanya chama hiki kikongwe kionekane chama cha kihuni. They are doing more harm than good.
Kwa hiyo kwa sisi wazalendo na tunaoipenda nchi yetu tungependa na kuomba kwa unyenyekevu mkubwa kumshauri Rais wetu mpendwa akubali kufanya interview ya ana kwa ana na chombo chochote cha kimataifa ili aweze kujibu tuhuma hizi zinazosambazwa dhidi ya serikali yake na kuweka mambo sawa pamoja na kuuelezea taifa letu na ulimwengu kwa ujumla ukweli kuhusu hali halisi ya nchi yetu Tanzania ilivyo.
Nawasilisha.
Safi sanaVipi haujafika wakati wa mama yako kufanyiwa interview na chombo kinachoaminika juu ya majuto yake kukuzaa
han mada yoyote zaidi ya fly over n dreamliner, mkinikia naa viwanda vilifeli.Tangia Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli aingie madarakani sijasikia akifanya mahojiano ya moja kwa moja na chombo chochote cha habari chenye credibility kufafanua masuala mbali mbali ya kitaifa.