Habari wana JF,
Mwezi wa 6 nilijaza fomu bank fulani kuomba mkopo wa biashara. Nimekamilisha vigezo vyote ikiwemo hati ya nyumba lakini kimya nikiuliza wanasema eti mtandao sijui visasi mana tulipishana maneno na mhusika mwaka jana tulikuwa tunagombania mpaka wa kiwanja sijui ananikomesha sasa ofisini kwake. Nimekusanya mazao ya wakulima mkopo hamna jamani tusiishi kwa visasi. Wadau nifanyeje? Jiwe kwa darkness.