Imebaki siku tatu kuamua moja uishi kwa shida na raha milele ;fanya uamuzi bado una muda

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kukiwa kumebaki siku tatu kuingia jumamosi ambapo ndugu zetu wengi wanatarajia kuoa ama kuolewa ndugu wapendwa hizi siku tatu ni nyingi sana siku hizi zaweza kuwa furaha yako milele ama shida tupu milele......

Yawezekana unaingia kwenye ndoa kwa sababu umri umeyeya unaingia sababu uliletewa na mamayako mzazi na amna budi kuoa unaingia sababu unatafta mtoto ndufu yangu haya yote yaweza geuka kilio siku mbili tu baada ya ndoa na baya zaidi mkiwa kwenye shuguli ya hnymoon.....sikwambia kwa kukuogopesha la hasha unao muda wa kubadili maisha yako usifikirie sana kuingia kanisan kufurahisha watu watakula na kwenda chooni sikuhiyohiyo na kama uamini ukiwa unaendelea na sheehe kaa karibu na choo uone wanapoweka folen kama wanakwenda loliondo kwa babu....watakufurahia sikuhiyo ila msala unabaki kuwa wako milele...nakwambia bado una muda amuaa moja kama auko radhi na aujajiandaa na ndo usisite kuomba iarishwe ujiandae upya ..bado kanisan kuna nafasi ya kuomba hilo..ni kwa mema tu ili usije ingia kwenye vile vitabu vya mahakama kwa walioachika baada ya miezi kadhaa kinyume na sheria zetu mpaka miaka miwili

nawatakia wanandoa maisha mema mnaooana jumamosi na jumapili mungu awape upendo wa agape na malengo yenu yatimie kila anawewawazia no basi mungu aweke yes....msiache kusali na kuomba aijalishi umeakikishiwa mnaoana ndugu kuna waliolia pale mbele mwanamke kusema mmmh kwenye shida mi siwezi na mchungaji ana dk 3 tu za kukulizia tena mara tatu ukisema same biashara imeisha ...so muombe mungu mkielekea kaanisani sio wote unaoona wanakuchekea na kukurushia maua wanania nzuri na ndoa zenu wengine wametumwa

jumatano njema
 
Pdiddy, leo umeyaleta ya ndoa!!! Umetendwa? tehe tehe tehe tehe> I have liked your lessons!
 
mh we pididy unapenda mandoa ndoa...daily topic za maunyumba bin mandoa..ahsante lakin.
 
Mhh, Pdidy! nahisi kuna mtu unalenga ila umeshindwa kumuambia live!!! kama kweli usisite kwenda kumshauri au kama yupo hapa ujumbe ameupata na wengineo wengi, ahsante
 
mimi ningetaka kujua.....activities za hiyo jumamosi zitakuwa ni zipi?...dunia inaishaje? yani tunaamka tunajikuta tukoje? au inakuwaje?....hii kitu imegoma kabisa kuniingia akilini....mwenye ufahamu kidogo na hili anijuze tafadhali
 
mimi ningetaka kujua.....activities za hiyo jumamosi zitakuwa ni zipi?...dunia inaishaje? yani tunaamka tunajikuta tukoje? au inakuwaje?....hii kitu imegoma kabisa kuniingia akilini....mwenye ufahamu kidogo na hili anijuze tafadhali

tubu sasa,nafasi unayo usije ukaamka jumamosi ukakutana na pilato,lol
 
tubu sasa,nafasi unayo usije ukaamka jumamosi ukakutana na pilato,lol

roselyne1 hii kitu inanichanganya sana.......nitatubu sawa lakini ningetaka kujua hasa inakuwaje.....moto unashuka kutoka mbinguni au tunatwaliwa wateule au gharika au kitu gani.....na si ilisemekana kabla ya mwisho mpinga kristo atakuja....hivi ameshawasili?
 
Hacheni kuwadanganya watu, hakuna ajuae siku wala saa ya mwisho wa dunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom