Imebaki miaka Miwili (Two years Left)

Imebaki miaka Miwili (Two years Left)

ajenge reli.. aweke umeme wa uhakika hapo hata kama ajira hakuna tutajiajiri sana kwa wenye akili
 
Nilidhani frustrations mwisho 2017 kumbe bado anaendelea kuingiziwa hadi huku 2018
 
Kwenye jehanamu, miaka miwili ni ishirini vile. Fikiria wanaonyang'anywa wake zao na wakubwa. Hao ndiyo Wanyonge halisi. Najiuliza mtetezi wa wanyonge yuko wapi.
 
Kutegemea upinzani kushinda uchaguzi mkuu 2020 ni zaidi ya uhayawani.

CCM haitegemei kutimiza ahadi ndiyo ishinde si miaka yote husema mmeibiwa kura?
 
Zero IQ.Niliamini unataka maoni kutoka pande zote.Ufipa,Lumbumba,Buguruni,Iringa,Dodoma,Diaspora. Kumbe hutaki maoni kutoka Lumumba? Utaupimaje ushindi na nguvu ya Lumumba?
Uhuru wa mawazo tunaoupigania uwe pande zote sio tumbane magufuli tu.
No political tolerance.
 
jamaa anawazeesha Watanzania kabisa na huku wakitegemea watoke kwenye pensheni ya uzeeni anataka kuwakata pia watoke kavu kwa kukatwa kodi amalize miaka yake aondoke...
 
kuhusu suala LA watanzania kuchoka hilo liko wazi kama nyeti za mbuzi ...
sema kukaa nakuamini kuwa ccm wataanguka kupitia chaguzi kuu nikujiongopea njenje
katiba ya Taifa hili nikimeo ..nadhani tumeona TUME INAITWA TUME HURU lakini bado imekuwa na upendeleo kwa chama tawala..
kuitoa ccm madarakani yahitajika viongozi vichaa waliokosa mshipa wanoma na aibu ..kisha waingie AMAZON wakinukishe basi...lakini hvi hvi hawajaama hawawezi kukubali kunyanyuka walipokaa kwasababu wameshazoea utamu wanaoupata kwakutafuna malo za umma
Vita haina macho. Ingia Amazon( ukimaanisha msituni kwa mtutu na risasi) hutofanya uchaguzi si chini ya miaka 10. Badala ya 2020 kufanya uchaguzi utafanya 2028/30. wakati huo makaburi yatakuwa yanachekelea.
Inawezekana usiwe mmoja wa wapiga kura wakati huo.
Vita siyo lelemama. Hebu nenda depo ndio utajua.Happy New Year
 
Vita haina macho. Ingia Amazon( ukimaanisha msituni kwa mtutu na risasi) hutofanya uchaguzi si chini ya miaka 10. Badala ya 2020 kufanya uchaguzi utafanya 2028/30. wakati huo makaburi yatakuwa yanachekelea.
Inawezekana usiwe mmoja wa wapiga kura wakati huo.
Vita siyo lelemama. Hebu nenda depo ndio utajua.Happy New Year
 
Back
Top Bottom