kama movie vile wataokota mifupa na kuikagua huku wakioneshana na kujaribu kuwaza ni mtu au mnyama flanisiku watoto wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu.....waje waone mifupa waseme binadamu wa kwanza alovuka dunia kwa miguu.
Kama naiona Tanzania inavopokea sifa nzuri za kihistoria kupitia mimi,,aseeee makofi kwangu kabla sijaanza na kupotea hukokama movie vile wataokota mifupa na kuikagua huku wakioneshana na kujaribu kuwaza ni mtu au mnyama flani
Yah na itatumika kwenye kampeni mwaka huo!!Kama naiona Tanzania inavopokea sifa nzuri za kihistoria kupitia mimi,,aseeee makofi kwangu kabla sijaanza na kupotea huko
Hahaha 😂 umeua mkuuYah na itatumika kwenye kampeni mwaka huo!!
Vipo vingi sana nitakutajia baadhi tu,Sasa si ungevitaja hivo vitu bila kuvitaja bandiko lako kina maana gani sasa si NI kama takataka
Hata 2150 hufikiHuo mwaka ukipita salama nitakuja kufufua huu uzi utueleze kwanini ulitudanganya
Vyovyote itakavyokuwa ila itakuwa ndio mwisho wa maisha ya mwanadamu duniani.Dunia hijaanza miaka hii ambayo tunahesabu hii dunia ni endless game
Nimewaza tu sio lazima iwe hivyoHakuna ajuaye siku wala saa acha uongo
Vitu vya ajabu ndio vilifanya dunia iwepo na ndivyo vitakavyofanya dunia iwepo kwa karne nyingi zijazo.Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
Haiwezekani binadamu hana mwisho wakeVyovyote itakavyokuwa ila itakuwa ndio mwisho wa maisha ya mwanadamu duniani.
upo sahihiNimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
FafanuaHaiwezekani binadamu hana mwisho wake
NO REFORMS, NO ELECTION.Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.