Imani zilizokosa ithibati


Unapoenda kwa mganga / mchawi lazima akuunganishe kwenye madhabahu yake ili upate msaada, na shetani ili akupate lazima akutoe kwa Mungu... so ikishakuwa madhabahu inayofanyika hapo ni ibada na ndio maana unatoa pesa kama sadakaka.

Kikubwa ni kumtegemea Mung.. kwingine utadhalilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…