Imani nyingine bwana

Imani nyingine bwana

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Pakistani Shiite Muslims flagellate themselves a day ahead of Ashura in Islamabad.
635506062748140009-EPA-epaselect-PAKISTAN-MUHARRAM-MONTH.jpg
 
Kama hapa bongo hii dini ipo basi siyo vizuri ni kusikitisha na kuhuzunika ni bora waendi vituo vya afya waipeleke huko hiyo damu ambayo ya kujipiga hivo vifua vyao na vijembe koliko kuimwaga barabarani na huko hospitali kuna wagonjwa huwa wanahitaji damu hasa mafakhiri au masikini tena na tafakuru na tafakari hii siyo vizuri
 
chakushangaza wayafanyayo wao ndio sahihi,lakini tukifanya yetu sisi kama ibada tunamkufuru MUNGU! wenzetu bwana!.
 
Back
Top Bottom