Mziwanda!
Umeniacha hoi, unahisi bibie baada ya kukingwa mvua akatoa shukrani ya aina hiyo kwa huyo kaka?
Eniwei,nilivyolielewa mimi ni kwamba wale ni wapenzi,wametoka mahali(kama siyo office na nguo zao) halafu wakanyeshewa na mvua na mwanaume kuonyesha anajali akamkinga mpenziwe. Na kwavile walifika wote nyumba moja na ni wapenzi wakala raha zao. Hujawahi kunyeshewa na mvua wewe ukiwa na mamsapu?Siyo inyeshe mnaiona hapana,mpo kabisa kwenye mvua chapachapa!!!?? ha ha
Kitu muhimu pale ilikuwa ni kukumbuka kutumia kondomu hata kama wamepatwa na mhemko kiasi gani. Inawezekana wewe ulipata tafsiri tofauti kitu ambacho ni kawaida maana watu wote hatuwezi kufanana mawazo/maoni juu ya kitu fulani.