Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,841
- 2,663
...nalipa kwa matendo yangu! Huwa 'nashindwa kushangaa' na mambo haya. Yamekuwa matangazo mengi ambayo mwisho wa siku hujulikana kuwa na makosa, sina haja ya kuyataja. Hili la mwanamke kutoa uroda kutokana na just kukingwa mvua inakuwaje. Yani hana kingine cha kutoa? Wanawake amkeni sasa. Matangazo mengi yanawadhalilisha