Hivi ni kweli wamekuwa hawapendwi, wananyanyapaliwa, wananyanyaswa, wanatengwa duniani kote? Ama ni asili tu ya imani wanayoiamini?!! Kwani mahali pote duniani penye migogoro watu hawa wapo, kulikoni?!!!. Binafsi naamini peponi watakuwepo wale tu wenye sifa miongoni mwa hizi: wapenda AMANI,wasiokuwa na MAKUU, wenye kukubali KUDHALAULIWA nk. kinyume na hapo ni uongo tu. Mf. mzuri ni mambo yanayojiri hivi sasa nchini Misri, UMMA ulimwamini Bw.Mohammed Mursi wa Islamicbrotherhood ukitegemea mambo mazuri toka kwake hasa ya kimaendeleo, lakini ikawa kinyume chake badala yake akajikita KIIMANI zaidi kwa kupuuza mamlaka za kisheria ikiwemo mahakama nk. Umma uliomwingiza madarakani ukamtaka aachie madaraka kwa amani, hataki. Jeshi likaingilia kati kwa mstakabali mwema wa nchi yao, ghafla watu wa imani wakaingilia kati wakiapa kuwa tayari kufa kwa islamicbrotherhood na kweli hivi sasa wanaua na kuuwawa wakitegemea kwenda peponi!!! hivi ni kweli???? kuua si dhambi kwao? Hapa napo wameanza kwa tindikali tutakwisha basi.

Hawa waProtestant na Wakatoliki,wanauwana huko Ireland ya kaskazini,nao pia ni Imani hazikuwapo duniani?Mpaka juzi wamechinjana.
Ni imani ambayo haikuwepo hapa duniani ndiyo maana haikubaliki kila mahala.
plus HITLER,CRUSADERS, COLONIALISTS, WORLD WAR 1, WORLD WAR 2 MPAKA WAKAWALAZIMISHA MABABU ZETU WAKAPIGANE VITA VYA KWAO. USI JUDGE KITU KWA UMRI ULIOISHI WEWE TUHivi wale Wa protestant na wakatoliki,wanaochinjana miaka nenda miaka rudi,huko Ireland ya kaskazini,kuna LRA,kuna kina joseph kibwetere,Askofu huyu aliuwa maelfu ya watu,kwa kuwachoma moto kanisani,wacha aliowauwa kwa kuwapiga na vitu vyenye ncha kali,watu karibu elfu moja na kitu,hujagusia kina John Garang,Kina Savimbi,Bqdo na mafuvu kadhaa yaliyokutwa kanisani,Rwanda,wakati wa vita vya wenywe kwa wenyew,ambao wote waranda ni wakristo.Wote hawa ni wa imani ipi?
Kama nchi ya kidini inayohubiri dini na kufuata misingi ya Amani kama ilivyo kwenye kitabu kitakatifu inashindwa nini kutumia kitabu hicho hicho kumaliza tofauti zao? Mbona hata hao wanaoitwa makafiri wanaishi kwa amani pamoja na ukafiri wao, hawajifunzi tu.
Hawa waProtestant na Wakatoliki,wanauwana huko Ireland ya kaskazini,nao pia ni Imani hazikuwapo duniani?Mpaka juzi wamechinjana.
Ulaji wa unga, umalaya, kuivamia nchi nyingine kwa ajili ya maslahi ya taifa lenu yalikuwepo toka enzi za mitume kati ya falme na falme nk. karibu kila pembe ya dunia yapo. Lakini hili la kuuana wenyewe kwa wenyewe tena watu wa imani moja doa.Hebu tuangalie hao the so called western countries wanavoishi kwa amani
Islam and the western world- khalid yasin - YouTube