Imamu Kortini Kwa Uchochezi

Status
Not open for further replies.
Hapo naipongeza serikali,kuanzia sasa serikali ipeleke makachero au maaskari kanzu misikitini na makanisani kuwabaini viongozi wa dini wote wanaochochea chuki miongoni mwa watanzania kwa kutumia mgongo wa dini, na kuwachukulia hatua kali bila huruma!
 
Reactions: ADK
 
kuwa hakimu au jaji ni shule siyo uislamu wala Ukristo. kama sivyo kahukumu wewe.
 
Al Shabab na Boko Haram wapo kazini. Akichinja binadamu mwenzie eti thawabu zinaongezeka kwa mola. Hii sio dini ya kukimbilia bali ni ukafiri. Hawa ndio kafiri namba moja.
 
Reactions: ADK
Al Shabab na Boko Haram wapo kazini. Akichinja binadamu mwenzie eti thawabu zinaongezeka kwa mola. Hii sio dini ya kukimbilia bali ni ukafiri. Hawa ndio kafiri namba moja.


Sawa,,
Vip kuhusu ushoga na ulawiti,sisi tusemeje??

Papa kajiuzulu,unajua sababu yake??
 
Sasa matibabu India anafuata ya nini tena kama ni "wauweni maaskofu, wauweni mapadre, na hata mlei" Kumbe kifo ni kichungu kwake lakini kitamu kwa maaskofu, mapadre, na walei? Yaani Tanzania ina wazee wapumbavu sikujua!
 
Wagome kwani inatumika sharia kuhukumu?
 
Al Shabab na Boko Haram wapo kazini. Akichinja binadamu mwenzie eti thawabu zinaongezeka kwa mola. Hii sio dini ya kukimbilia bali ni ukafiri. Hawa ndio kafiri namba moja.

Hawa ndugu zetu wana matatizo gani kwani?
Hawawezi kuifanya hii nchi kuwa mahala safi pa kuishi bila vurugu na chuki za kidini?
kila kukicha hili ndo limekua gumzo sasa.
Aaaaaarrrggghhhhhh......

Wazee wa kahawa na bao.

Wazee wa nguruwe na vibudu

Wakati mwingine huwa nafikiria allah ni mungu wa aina gani anayehimiza waumini wake walipize kisasi!!!!!! Wakati wote sipati jibu.

MODS naomba muwe waangalifu na mada za kidini, kama mnashindwa kuzifuta naomba mzihamishie kwenye ukurasa wa dini tafadhali. Lakini cha ajabu mada za udini mnaziweka kwenye jukwaa la siaisa kwa nini lakini. Radio Neema hawajafungiwa kwa sababu nyingine bali kwa kuachia mada zenye harufu ya kidini kisha fanatics wa Uislam na Ukristo kuchangia na hivyo kuwagawa watanzania. Najua habari kama hii ni muhimu lakini wachangiaji wanaijadili katika msingi wa udini, baada ya kumshutumu shehe Hamza wanawashutumu waislam wote na waislam wanawashutumu wakristo wote. HATUFIKI KWA HAYA TUMECHOKA NA HILI JUKWAA LA UDINI
 
Reactions: ADK
Jamani, mambo ya udini yametuchosha, wamiliki wa jamiiforums msiyape coverage humu tafadhalini.
 

Kila kukicha kulalamika tu mara MOU mara MFUMO KRISTO, hivi hamna vitu vingine vya kuongelea mwambieni Kikwete awape MOU na MFUMO ISLAM.

Aaaaagh!!! watu wengine bwana!
 

Mkuu kwa kukuheshimu sana ninakukumbusha kuwa umekosea mlango; vinginevyo ningekwambia umekurupuka. Hapa tupo jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko!
 

Pumbavu, utafhan hizo din mlianzisha kumbe zote za kuletwa
 
Al Shabab na Boko Haram wapo kazini. Akichinja binadamu mwenzie eti thawabu zinaongezeka kwa mola. Hii sio dini ya kukimbilia bali ni ukafiri. Hawa ndio kafiri namba moja.

alshabab wanachinja na wanajeshi wa NATO na AU na masilaha mazito na vifaru na choppers zinafanya nini somalia? au ndo haja atoe kuku akitoa bata kaharisha..!
 
huu udini upo JF tu, huku mtaani mbona shwari 2 wajameni. Kama unajiona huna mchango chanya ni bora ukakaa kimya.
 
Sawa,,
Vip kuhusu ushoga na ulawiti,sisi tusemeje??

Papa kajiuzulu,unajua sababu yake??

Nenda mombasa, Tanga mpaka Saudi wamejaa. Tofauti ni kuwa kwa wakristu wanaweka wazi sio wanafiki kama wenzetu wanaofanya siri lakini ndio balaa.

Papa hajajiuzulu sababu ya ushoga amejiuzulu sababu ya uzee, hayo ya ushoga mnayaleta nyie.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…