Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,230
- 3,333
Kama ujuavyo, linapotoea tukio la mauwaji katika nchi za Magharibi, vyombo vyote vya habari vya nchi hizo usimamisha vipindi vyote na kufuatilia kwa ukaribu tukio zima, huku upelelezi wa nguvu ukiendelea.
Lakini hii imekuwa tofauti kwa Imam Maulama Akonjee na mwenzie Thara Uddin katika msikiti mmoja huko Marekani jana, tangu alipouawa hapakuwa na utofauti sana na siku za kawaida, hakuna chombo cha habari wala polisi wanaojiuhusisha sana na tukio hilo.