Imagine unaishi hapa.....

Raha ya hapo huna hofu ya uwizi maana ikifika usiku unaweza kuiondoa hiyo ngazi kwa kuivuta juu halafu asubuhi unaishusha.

Tatizo sasa kama mmiliki ni mtumiaji wa maji ya ilala na chang'ombe njia panda, unaweza ukapanda wakati umefika katikati unapata kausingizi ka ghafla halafu unaota unaogelea kwenye bwawa kubwa lenye maji ya uvuguvugu kwenye sehemu yenye baridi kali kama Mafinga mwezi juni.
 
Na waumini wanatakiwa kwenda kanisani?au ni kanisa lake binafsi hilo?
 
Na waumini wanatakiwa kwenda kanisani?au ni kanisa lake binafsi hilo?
Captio ya hii picha inasema eti hapa ni monks wanaishi....crazy stuff...!hii dunia ina mambo kweli
 
Na waumini wanatakiwa kwenda kanisani?au ni kanisa lake binafsi hilo?
Labda hao waumini wasiwe wanapagawa na mapepo. Lasivyo wakibingiria kama wale wengine mimi sitaki ushahidi.
 
Nice idea for the fit only, no room for the weak.... ha ha aaa haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…