Imagine ndio hubby

Kama ni wangu namuinua namsafisha nambeba kupeleka kitandanii huwezi jua kazimia au anaumwa si kila anaeanguka kalewa saa nyingine maradhi na maradhi yanakukuta popoteee

Natamani nikuone katika ubora wako mama!
 
Kama ni wangu namuinua namsafisha nambeba kupeleka kitandanii huwezi jua kazimia au anaumwa si kila anaeanguka kalewa saa nyingine maradhi na maradhi yanakukuta popoteee

you are such amazing woman with true love,typically a wife material
 
Kama ni wangu namuinua namsafisha nambeba kupeleka kitandanii huwezi jua kazimia au anaumwa si kila anaeanguka kalewa saa nyingine maradhi na maradhi yanakukuta popoteee

Bi dada una upendo haswa...wallahi mumeo anafaidi
 
Kama ni wangu namuinua namsafisha nambeba kupeleka kitandanii huwezi jua kazimia au anaumwa si kila anaeanguka kalewa saa nyingine maradhi na maradhi yanakukuta popoteee

Well answered, in a wise way...!!!
 
Lakini lazima naye ajue Ku appreciate akiwa mang'aa itakuwa ni maumivu tu

Uzuri wangu kilevi chochote hatumii ,walio na walevi itabdi wakubaliane na hiyo hali maana walikubali kuolewa na walevi au wanywaji wa pombe
 
mshana mbona sridi umeifunga hivyo khaaa,ngoja nimalizie kiroba kwanza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…