not applicable here
But where?
Kama ni wangu namuinua namsafisha nambeba kupeleka kitandanii huwezi jua kazimia au anaumwa si kila anaeanguka kalewa saa nyingine maradhi na maradhi yanakukuta popoteee
Una true love! sasa unaweza kuona kaondoka nyumbani kwake tarehe 30 unamkuta tarehe 3 yupo hivyo!
Kuna wanawake wengi sana wanaishi na haya maumivu