Imagine kwenye 6x6 hapo...


wadada kwa kutokua comfotabo, huku uraiani madogo wanaburuza mali za manjemba kama hao

wadada wanasema jitu lenyewe naliogopa sifaidi chochote, eti yanapendeza kwenye mitoko
 
cha maana jamaa akijikuncha kuitafuta sehemu lazima sura zikutane ndiyo ujuwe ukubwa wapua si wingi wa kamasi
 
Hapa kuna ufotoshopu......hebu angalienihuo mlango vizuri
 
Usikiute jamaa ana kasigara tu.
 
Duh, si mastaili yako mengi!! Acheni uszishi bana!! Iko perfecto kabsa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…