Imagine JF tunakutana ukumbini!

Mbona rahisi? Si avatar zao ziko wazi? Mfano mi ndo niko kama unionavyo hapo
 
mi ntakua nimetulia pemben kimyaaa naskiza maongez. Nikisikia pumba tu najua huyo ni Hmaster.
 
Easy ntasimama katikati then nasema "free beers,free beers every one.."
the first to respond,you have got your Asprin!
Then i'd go to the door and scream "OMG JK is outside joining us today.."
'Viola' utampata Malaria bila wasi..lol
Then naangalia sehemu walipokaa wasichana naenda nawaambia "Hii hela nimeokota hapo ya nani?"
Mmoja hata kabla hajaiona utamsikia "leta hapa ya kwangu" mwingine atamsunta "wewe hela yako umeidondosha saa ngapi!" Umeshawapata Lizzy na Afrodenzi.lol
 
Duu!! Najua siku tukikutana najua lazima wengine wapigane, ata mimi kuna watu nikikutana nao lazima wachezee nakosi za uso, bora tusijuane
 
tukutane kwenye sherehe za mika 50 ya uhuru.
 
mi ntawatambua kwa tabia kwanza hmaster utakuwa msemaji mkuu wa kambi ya mashabiki wa man u
 

hahahahahahah lol
Ngoja nkamwite Lizzy dahh

Mie ntamtafuta mtu mwenye chaki mfukoni (Good Guy)
swali lolote la ma Engineer anajibu( Good Guy)
Physics, Maths inapanda mpaka kule ( Good Guy)

hahahahahah lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…