Imagine: Hii kitu inatengenezwa China!

Mwijage kasema Kakiwanda kakutengeneza Vijiti ni $8000 ni Watanzania kuanzisha, wengi wetu tunapenda zaidi kununua na kuuza. Hili ni Tatizo.
 
VIWANDA OYEEEE , MWATEX OYEEE , UFI OYEEEEE , TPI OYEEEEE , URAFIKI OYEEEE , BORA SHOES OYEEEE !!!!
 
kama dangote anababaishwa na haohao akina mwijage ukileta hako kamashine si tdfa watakachoma moto wakwambie kanatengeneza njiti feki!
Hata Leo kauli yako iko hivyo?
 
Mwijage kasema Kakiwanda kakutengeneza Vijiti ni $8000 ni Watanzania kuanzisha, wengi wetu tunapenda zaidi kununua na kuuza. Hili ni Tatizo.
Usimsikilize Mwijage, na wewe fanya research yako. Mashine ni kuanzia $15,000. Hizo za $8000 ni zipi? Na zinapztikana China, so hapo kuna gharama za shipment. Bado hujajenga HANGAR, hujaunganisha umeme, hujaleta raw materials etc. Roughly ukiwa na $25,000 au $ 30,000 unaweza ukaanza kwa ugumu...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…