IMAGINATIONS: Kama Erotica(Leyla Mwenda) Angekuwa Gelfrend Wangu..................

Kama ulikuwa humjui Erotica, basi picha yake ndo hii hapa. Iangalie upesi kabla sijarudi kuidiliti....

michelle.jpg




teh teh teh. mwaaaaaaah. njoo unikague babu Asprin, umenikosha kunako.
 
Last edited by a moderator:
Wee Bishanga wee. Nilitahadharisha mchangiaji asiingie moyoni mwangu maana hakuna kitu. Huo utongozaji wa kijiniaz umeuona kwenye screen gani? Kwa nini waafrika tuko hivyo? Tulipokuwa chuoni, Mwanachuo wa kiume akitembelewa na mama yake utasikia wanasema: 'Aisee jamaa leo kaleta import iliyochoka ile mbaya'
Bishanga, mie sitongozi mtu hapa ila nafanya mazoezi ya psychology tu.
HYGEIA I love your psychology. I wish kila mmoja angekuwa anajaribu ku apply hata kwa levo

ile ndogo aliyonayo kabla ya kujifanya wajuaji na kujudge mtu kwa yale ambayo yanawakilishwa kwa

njia ya kibodi. hata mimi mpenda ngono na mpenda wanaume na mchitiji nina good side pia au sio papito?

wape wape papito imagination yako ya Ero. wengine imagination akijitahidi saana ananiona nipo tu

uchi wa mnyama tayari kwa kumegwa tena kwa staili yoyote. teh teh teh.

najua ulikotoka, najua unakoenda najua hutapata jibu la hakika ila najua

kwako muhimu umewakilisha lile ambalo unaamini.

me love you. come this way. mwaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mtoa mada!
Apewae pole maanake kuna huruma unamhurumia.
Umejipinda na bonge la thrade! Laiti ungalijua kua Erotica ni mwanaume usingejichosha. Ni hivi kwa mujibu wa kiitejelensia huyo ni Chambegu kidume na kimo humu Jf kwa ID ya kiume yenye initial B otherwise fanya tafiti utanipa majibu.
Judgement is that the judgement you choose to give?

unataka nifanye nini ili ujuwe kuwa ni mwanamk? tena mwanamke wa ukweli anaependa

kufanya na wanawake na wanaume pia? au nikaribishe this weekend nije kukufanyia kazi

na kukushughulisha kama ninavoishughulisha hio pipi pichani? ID yangu ya kiume ipo kwa ajili ya siasa tu!
 
Last edited by a moderator:
kwa maneno matamu uliyotowa humu unadhani ukinitongoza nitakataa?

na uzuri wangu huu, na urembo wangu ukiongeza na sifa ulizonimwagia hapa,

nahisi kukupa tu hio nafasi ya kuendelea kumwagia na mengine mengi kwangu sote tufurahi.

Erotica feels erotically erotic after reading this erotic post from your erotically inplanted by erotic feelings.

My darling, patient and lovely HYGEIA come this way.......... mwaaaaaaaaaah. :A S-rose:

Kililililililiiiiiii.......ai ai ai ai ai.......:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Yaani nipo hapa namuuguza Erotica baada ya kuDO kwa style alizozoea, yaani itachukua muda sana hadi ajitambue na kuanza kubahave.

Halafu kameanza kuwa kakorofi, kweli alitaka Ndahani awepo ndipo ale chakula nikamwambia Ndahani ameenda Mombasa kuokoa raia wa Marekani wanaokimbia tishio la ugaidi, lakini haelewi hadi Paxman alipokuja to her rescue ndipo ametulia kidogo.

Mwaka huu mdogo wangu sweetlady kazi tunayo.


my sweet love Kaunga....:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: hakunaga kama wewe, wote come and go but you.:busu

you are the one for me.:hug: love you for sticking up with me. :mwaaah::mwaaah::mwaaah:love you for much much more. mwaaaaaaah. :A S-rose::A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
Wewe tena mke mwenza?????......nakuaminia teh teh!


ndio maana mimi penda sana mimi na wewe. hatunyimani sifa.

nimemmiss tu hubby dabby klorokwini sijui atakuja lini papito wetu.

nimemkumbuka nimeingia majonzi ngoja nijipumzishe kabla majonzi

hayajaamia kwa watoto. mwaaaaaah mwenzato.
 
Last edited by a moderator:
ndio maana mimi penda sana mimi na wewe. hatunyimani sifa.

nimemmiss tu hubby dabby klorokwini sijui atakuja lini papito wetu.

nimemkumbuka nimeingia majonzi ngoja nijipumzishe kabla majonzi

hayajaamia kwa watoto. mwaaaaaah mwenzato.

Daaaah..... Erotica umenikumbusha majonzi khaaa......yaani mpaka kesho kama klorokwini atakuwa hajatokeza itabidi tuanze msako wa nyumba hadi nyumba......ole wake tutakaemkuta nae!.... Mmwaaaaah too my mke mwee!....lala unono!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mtoa mada!
Apewae pole maanake kuna huruma unamhurumia.
Umejipinda na bonge la thrade! Laiti ungalijua kua Erotica ni mwanaume usingejichosha. Ni hivi kwa mujibu wa kiitejelensia huyo ni Chambegu kidume na kimo humu Jf kwa ID ya kiume yenye initial B otherwise fanya tafiti utanipa majibu.

usimkatishe tamaa plz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom