IMAGINATIONS: Kama Erotica(Leyla Mwenda) Angekuwa Gelfrend Wangu.................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IMAGINATIONS: Kama Erotica(Leyla Mwenda) Angekuwa Gelfrend Wangu..................

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SHIEKA, Jun 25, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Kwa WanaMMU wote. Hamjambo?

  Kichwa changu kimekuwa kama mashine ya kukoboa nafaka kwa jinsi kinvyojaa imaginations nyingi. Imaginations hizi zinamhusu mwana mmu machachari aitwaye Erotica. Kwenye posti hii naomba nimwite kwa majina mawili tofauti na nitatoa sababu. Naomba nimwite Leyla. Kwa nini Leyla? Kwa uzoefu wangu, wanawake wenye majina haya ni wazuri sana kwa umbo na wana sura za kuvutia na wanajiamini kupita kiasi. Katika lugha ya kisaikolojia, akina Leyla ni extroverts. Ndivyo ninavyomwimagine Erotica. Erotica ni extrovert nambari one.Anapenda kijichanganya na watu, na hakosi la kusema anapokuwa kwenye kundi la washikaji zake. Kila mtu ni rafiki yake na anaweza kuzungumza na wewe kana kwamba mnafahamiana kwa miaka 20 ingawa ndo leo tu mmekutana. Hao ni maextroverts, Leyle(Erotica) akiwa mmojawao.

  Jina la pili la Leyla ni Mwenda. Kwa nini Mwenda na si Masawe au Katabaro au Mwanjisi?Imaginations zangu zinanifanya nimwone Erotica kulingana na urembo wake kuwa mwanamama kutoka Kondoa.

  Ingetokea miujiza ya aina fulani Erotica akawa gelifrendi wangu mimi Hygeia, mambo mawili yangenitokea.

  Kwanza ningefurahi sana kuwa na mwanamke mrembo, mcheshi na mchangamfu kama Erotica. Halafu bila shaka angeniona mimi ni mshamba hasa katika mambo ya mapenzi. Nimezaliwa na kukulia kijijini na mambo ya mapenzi na staili zake na madoido mengine ya uhusiano si mambo ya watu wa vijijini. Pengine angenidump haraka sana baada ya muda mfupi wa urafiki. Hapo ndiyo ingekuwa kazi kwangu maana ningembembeleza sana tuendelee na urafiki.

  Pili, kwa jinsi Erotica alivyo outgoing, and loving, angenifundisha mambo mengi ya mapenzi. Kwa wale mliofuatilia talkshow ya Zinduna, msiyaamini aliyosema Erotica. Mengi aliyosema ni kwa ajili ya kuchekesha tu kama ilivyo kawaida ya ma-extroverts. Mambo ya sijui mchina na mzungu na waafrika wawili hizo ni porojo tu, usiamini.Erotica isn't the cheating type! Kumbuka pia Erotica ana kipaji kikubwa cha acting na angeingia kwenye film industry, Kanumba(RIP) angekuwa cha mtoto.

  Nisiwachoshe wana mmu na imaginations za ajabuajabu. Ila hiyo ndo portrait ya Erotica(Leyla Mwenda)

  Kama utajisikia kutoa comment, tafadhali usitoke nje ya post hii na kujaribu kuingia moyoni mwangu. Hakuna kitu huko.Asanteni.
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Napita huu mtaa!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Erotica,umeyasikia hayo?
  ila kaa ukijua kutongoza kuna style nyingi,ila hii ya leo ni ya kijiniaz!
  nawatakieni mtongozano mwema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. G

  GTesha JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli kutongoza kazi aisee
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Kama ulikuwa humjui Erotica, basi picha yake ndo hii hapa. Iangalie upesi kabla sijarudi kuidiliti....

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Nilisema Erotica ni extrovert yaani mtu anayejiamini sana. Anayeonekana kwenye picha hii ni kinyume yaani ni introvert. Kwa hiyo si Erotica.
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Wee Bishanga wee. Nilitahadharisha mchangiaji asiingie moyoni mwangu maana hakuna kitu. Huo utongozaji wa kijiniaz umeuona kwenye screen gani? Kwa nini waafrika tuko hivyo? Tulipokuwa chuoni, Mwanachuo wa kiume akitembelewa na mama yake utasikia wanasema: 'Aisee jamaa leo kaleta import iliyochoka ile mbaya'
  Bishanga, mie sitongozi mtu hapa ila nafanya mazoezi ya psychology tu.
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Pole sana mtoa mada!
  Apewae pole maanake kuna huruma unamhurumia.
  Umejipinda na bonge la thrade! Laiti ungalijua kua Erotica ni mwanaume usingejichosha. Ni hivi kwa mujibu wa kiitejelensia huyo ni Chambegu kidume na kimo humu Jf kwa ID ya kiume yenye initial B otherwise fanya tafiti utanipa majibu.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Endelea na mawazo yako ya kufikirika.....Na hapa ni baada ya diet kumshinda. Ila aibu yake iko palepale. Chezeya Erotica?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Dear Tesha. Sitongozagi kwa maandishi. Napenda uso kwa uso ndo yenye raha!
   
 11. G

  GTesha JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haya nadhani mlengwa ameshasikia na atakujibu
   
 12. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Kwa umbo chini ya kiuno aweza kufanana na Erotica ila huyu si Erotica Dear Asprin
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Bonge la tongozo, ashindwe mwenyewe.

   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wewe nae waonekana kilafi , mi nakushtua kwenye giza utoke , walaa! Hunijali wala nini, ndy kwanza umekimbilia kwenye viuno kwenda chini ! Haya endelea na huyo Erotica.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  erotica unaona topic zako za ngono zinavowapagaisha watu humu ndani? utakuja vunja ndoa za watu hivi hivi:happy:
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  i like this girl's eyes..very sexy..yaani akikukasirisha alafu akakuangalia namna hiyo lazima hasira ziishe umsamehe :amen:
   
 17. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Umesema kweli Judgement! Thread yangu imeweka crack kwenye mgongo wangu. Na huyo njemba anayejifanya ni Erotica ameninasa vibaya! Ni mtu anayejua sana saikolojia ya wanawake. Sijapata kulistukia jambo hili ila ntapitisha uchunguzi wangu. Asante Judgement kwa angalizo!
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,276
  Trophy Points: 280
  Hivyoeee!???
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Hebu uache kumuita Asprin dear, usituletee dhahma hapa! Ebooh!
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mng'ao mambo? Unapoteapotea sana nw dayz, nini mbaya? Mr wako hajambo nae ?
   
Loading...