Imagination juu ya masupastaa wa JF

lengo lako ni kuimagin wana jf ambao ni wanawake!! Tuna akili mkuu so next tym u better opt 4 another thing.
 
:A S 13: yani kwa imaginations, naweza kusema mara zote nilivyokua nawafikiria wana JF nilikosea.... our words and avatar mara nyingi zimekua what we dream to be but not what/who and how we are
 
:A S 13: yani kwa imaginations, naweza kusema mara zote nilivyokua nawafikiria wana JF nilikosea.... our words and avatar mara nyingi zimekua what we dream to be but not what/who and how we are

Exactly
 
Komredi, The Finest kadaka chetuntu, Heren K, Husninyo, Maty, Lizzy, na WiseLady
CPU kadaka eksitensheni kebo
Hahaha we nid plan b komredi digididi TF hawezi kamata zote ye sio babu! Ivi wamempendea hicho kitambi chake?
 
Hahaha we nid plan b komredi digididi TF hawezi kamata zote ye sio babu! Ivi wamempendea hicho kitambi chake?

Jamaa sijui anatumia ndumba?!
Nirijarubu WL, nikalambwa kofi, kwa Heren nikaishia kunawa tu, kwa Lizzy ndo nikapewa kavukavu za uso, Husninyo ndo kabisaa hata PM hajibu, chetuntu akaishia kunipa HAI tu, kidogo kwa Maty nilipata matumaini lakin waaaaapi . . .
Yaani kweli nimeamini mimi ni EKSITENSHEN KEBO kama alivyonitunga Teamo
 
Huwa namuimagine kishongo kama yule mwarabu al adawi wa Dowans na kanzu na barghashia yake
 
mm ninavyomuimgine FL1 siwez hata kusema natamani sana nikutane naye siku moja.
 
Me huwa namuimagine Kimey ni mkaka mfupi, mnene surual za kitambaa, anapenda kitimoto na biere . Michelle ni kadada kadogo dogo ,mweusi .

nimekupa thanks kubwa kwa kunipatia kabisa.....wewe Chetuntu isisje kuwa unanijua dear?
 
Nakusubiria nje hapa tuonane l.o.l

aisee nimetoka hapo nje nimemuona mtu anazinga la kitambi na upara. Amevaa mabuti kama mgambo.
Sijui ndio ulikuwa wewe. Ngoja nijipange tena aisee.
 
aisee nimetoka hapo nje nimemuona mtu anazinga la kitambi na upara. Amevaa mabuti kama mgambo.
Sijui ndio ulikuwa wewe. Ngoja nijipange tena aisee.

hahaha ndo yeye,,,mi nilisema mapema naogopa kumuona nenda kajipange upya mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…