Image search inafanyika vipi?

Image search inafanyika vipi?

Mevnatumia google.unaenda apo kwenye hako niliko kawekea mshale
Screenshot_20211007-071810_Google.jpg
 
Fafanua please..mfano mtu kanitumia picha

Nataka kuitafuta kwenye Mitandao.. unafanya je.
Sio picha zote unaweza kuzipata mkuu. Ni zile tu za watu maarufu au zilizowahi kuwekwa google pamoja na maelezo yake.
Una tafuta google search using photos utapata picha zinazofanana na hiyo pamoja na maelezo yake.

Mimi uelewa wangu ndio huo kuna kidude kwenye gari nilikuwa sikijui jina nikapiga picha nikasearch nilikipata jina lake.
 
Iyo picha unayo taka kui search ukiwa nayo kwa gallery .ukienda apo nilipo oneshea utafanya kui tap ita search yenyewe..lakini kama alivyo sema kikiboxer hapo juu sio picha zote unaweza kuzipata, utapata zile zile zilizo wekwa mtandaoni tu
 
Swali zuri ambalo litatusaidia wengi tujuzeni Zaid wakuu..ila hata me naimani sio zote utaweza kujua Ni Nani na ilipigwa lini n.k
Elimu haina mwisho kwa kweli
 
Iyo picha unayo taka kui search ukiwa nayo kwa gallery .ukienda apo nilipo oneshea utafanya kui tap ita search yenyewe..lakini kama alivyo sema kikiboxer hapo juu sio picha zote unaweza kuzipata, utapata zile zile zilizo wekwa mtandaoni tu

Kwa simu inawezekana au kwa pc na lap top?
 
Sio picha zote unaweza kuzipata mkuu. Ni zile tu za watu maarufu au zilizowahi kuwekwa google pamoja na maelezo yake.
Una tafuta google search using photos utapata picha zinazofanana na hiyo pamoja na maelezo yake.

Mimi uelewa wangu ndio huo kuna kidude kwenye gari nilikuwa sikijui jina nikapiga picha nikasearch nilikipata jina lake.

Mfano mtu kakutumia picha watsap na picha ya celebrity lakini humjui..unataka Ku search unaanzaje?
 
Na mimi nadandia lift hapahapa, ni program gani kama nyimbo inapigwa redion unaweza kutumia simu yako kujuwa ni nyimbo ya nani?
 
Kama mtu huyo ni maarufu,

Tumia App ya SHAZAM pale katika scan chagua image itakuletea jina la mtu ulosearch picha yake.
 
Google itasearch images zote kwenye database yao zenye jina ambalo umecommand iweze kusearch. Itazichukua kutoka katika mafile yoote yaliyomo katika engine yao na kufilter images tuu
 
Sio picha zote unaweza kuzipata mkuu. Ni zile tu za watu maarufu au zilizowahi kuwekwa google pamoja na maelezo yake.
Una tafuta google search using photos utapata picha zinazofanana na hiyo pamoja na maelezo yake.

Mimi uelewa wangu ndio huo kuna kidude kwenye gari nilikuwa sikijui jina nikapiga picha nikasearch nilikipata jina lake.
Only Huawei can do that, natumia huawei
 
Na mimi nadandia lift hapahapa, ni program gani kama nyimbo inapigwa redion unaweza kutumia simu yako kujuwa ni nyimbo ya nani?

Kuna App ukienda google store inaitwa Shazam, download. Wimbo ukipigwa unaifungua, unabonyeza katikati kwenye alama S kisha itajaribu kuutafuta kwa database na kukupa taarifa zake kama jina, mwimbaji na album. Hakikisha upo online ( data ipo).
 
Mfano nimeona picha ya mtu kwenye Mitandao nataka kujua ni Nani au I'd zake za online ..Una search vipi?

Nimewahi sikia Sana kuhusu image search but sijaelewa inafanyaje kazi au kuna apps za kazi hizo?

Habari ya majukum mkuu, kwema?

Hii google wanayo, una click au kushikilia kwenye picha kwa muda, kwenye hizo option itakupa "search google for this image" ukibonyeza itajaribu kutafuta picha kama hiyo au zinazokaribiana na kukupa maelezo yake. Lakini lazima picha hiyo iwe tayari ipo kwenye mtandao lakini.

Ila kuna App maalum za kuscan image na kuhusisha na wahusika hasa kwa wenzetu walioendelea ambao taarifa zao nyingi zipo mtandaoni na kwenye mifumo rasmi.
 
Na mimi nadandia lift hapahapa, ni program gani kama nyimbo inapigwa redion unaweza kutumia simu yako kujuwa ni nyimbo ya nani?
Tumia Shazam kiongozi. I-download PlayStore
 
Back
Top Bottom