Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,079
Mkuu, hatushindani umahiri wa ku-site au nan msomaji sana wa bible. Kama wew ni msomaji umeshndwa jua wapi yametoka maandika hayo?
Ok kubwa ngoja nikutafutie huone jinsi Roho MTAKATIFU ANAVYOTUSAIDIA KUOMBA
Sijakuelewa..Kama humshangai Binadamu aliyekamilika kuwa na "Mwili" "Roho" na "Nafsi", Je Mungu Baba si zaidi ya sana, yaani huwezi kuelewa asili ya Mungu na jinsi alivyo kwani sisi ni mavumbi tu tulioumbwa kwa "mfano" wake!
Fanya fasta...
Kumbuka umesema Roho Mtakatifu anatuombea...
Hebu pitia kidogo Warumi8:26
hadi 27 pia kama ukihitaji
Toa andiko wacha kuwa kama kasuku...maswwla ya sijui andiko...hata qiran ni andiko..
Roho Mtakatifu ni Nafsi ya Tatu ya Mungu...ni Mungu halisi..
Tunamuomba Mungu na Mungu hatuombei...Hapo ni Roho Mtakatifu anahuzunika kwasisi kutokujua kuomba....
Ukisema anatuombea unafikiri anatuombea kwa nani..?
Labda kama huamini Roho Mtakatifu ni Mungu..
Soma Mwanzo1: 26-27
Acha story kubwa na kuleta utashi wako andiko limesemaje?? Unalipinga sasa. Umetaka ni site i dd sema lingine
Kuna tatizo gani kwani..???
Mambo ya kimungu lazima ushangae kwa maana ni ya ajabu mno! Lakini huwezi kushangaa viongozi wastaafu kama Marais, Maaskofu, Mabalozi na Mawaziri Wakuu wanaendelea kuitwa kwa vyeo vyao mpaka wanakufa-why?
Baada ya kuzaliwa Kristu.walipatikana wadogo zake pia mmoja wao alikuwa mtume kasome biblia!Ameshikiri wapi..? Hebu tuoneshe aliposhiriki tendo...
Ulitaka ni site, juu ya Uumbaji pale Mungu alipongea kwa Wingi kuwa tumfanye mwanadamu kwa mfano wetu, ndo nkakupa hiyo ya Mwanzo. Na hiii nyingine ni about Roho Mtakatifu kutumbea.
Hebu tulia Roho Mtakatifu anatuombea kwa nani mkuu..???? Hapa ukikutana na wale wasioamini kuwa Roho Mtakatifu ni Mungu utakwama....Maana utaulizwa anatuombea kwa nani angali yeye ni Mungu..
Wewe umeelewaje kuhusu hilo andiko...
Ndio maana nikakuuliza unaamini Roho Mtakatifu ni Mungu...
Wacha uongo kweupe...Baada ya kuzaliwa Kristu.walipatikana wadogo zake pia mmoja wao alikuwa mtume kasome biblia!
:what: mbona hueleweki, hapa tunajadili kuwa nani anatuombea. Maana katika hilo andiko la warumi linaonyesha kuwa Roho ndo anaetuombea sisi, watakatifu hao wengine ambao mnawaomba wawaombee andiko hilo mstari wa 27. Linaonyesha wao wanaombewa na Roho pia. Eti kubwa unaonaje juu ya hili? Ushapewa evidence leta nondo zako.
Waabudu vinyago utawajua tu...!!!
Mungu anaombea mtu tangu lini..??? Mungu anaombwa haombe....
Nimekuuliza umeelewa huo mstari kwa kanisa la Uroma..?
Matatizo ya kukariri Biblia kama kasuku..