virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.
Ndiyo anaitwa Virgini....
Kwani umesikia mahali wanamuita si Virgin...? Au ni hisia zako..?
Kwa hiyo mpaka leo hajashiriki tendo
Unaamini Maisha baada ya kufa....Unaamini uwepo wa Watakatifu...?Aisee wewe uko kama mimi. Hivi huyu Maria mbona ni kama amechukua attention ya watu kuliko hata Yesu mwenyewe? Kuna dhehebu fulani yaani wao muda wote salam maria salam maria!!! Jamani huyu alitumiwa na Roho Mtakatifu kumleta Yesu (Mungu) duniani na kazi yake iliishia hapo. Alikufa na anasubiri ufufuo kama wengine. Wengi hudhani yupo anaishi!!! No way!
Anayeishi ni Yesu, Musa, Eliya, Enok. Hao Biblia ilisema wazi kuwa wako Mbinguni wanaishi hata leo. Lakini Bikira maria???
Hebu wasilianeni na Yesu moja kwa moja bana mnaogopa nini sasa, hivi mnajua maana ya lile pazia jekundu kwenye synagogue kupasuka wakati Yesu alipokata roho? Maana yake ni ruksa sasa kuwasiliana na Yesu moja kwa moja si lazima kupitia kwa kuhani kama ilivyokuwa zamani. Maana zamani madhabahuni mtu alikuwa hatii maguu! Ila unaona siku hizi, kila mtu anafika!
Samahani lakini.
NAPITA jana na leo unaweka picha ambazo zinaibua mijadala mizito sana jana ile picha ya Nyerere hadi watu wakatukanana majitusi na leo huwenda yakatokea..........!!!!
We unaonaje..?
Aisee wewe uko kama mimi. Hivi huyu Maria mbona ni kama amechukua attention ya watu kuliko hata Yesu mwenyewe? Kuna dhehebu fulani yaani wao muda wote salam maria salam maria!!! Jamani huyu alitumiwa na Roho Mtakatifu kumleta Yesu (Mungu) duniani na kazi yake iliishia hapo. Alikufa na anasubiri ufufuo kama wengine. Wengi hudhani yupo anaishi!!! No way!
Anayeishi ni Yesu, Musa, Eliya, Enok. Hao Biblia ilisema wazi kuwa wako Mbinguni wanaishi hata leo. Lakini Bikira maria???
Hebu wasilianeni na Yesu moja kwa moja bana mnaogopa nini sasa, hivi mnajua maana ya lile pazia jekundu kwenye synagogue kupasuka wakati Yesu alipokata roho? Maana yake ni ruksa sasa kuwasiliana na Yesu moja kwa moja si lazima kupitia kwa kuhani kama ilivyokuwa zamani. Maana zamani madhabahuni mtu alikuwa hatii maguu! Ila unaona siku hizi, kila mtu anafika!
Samahani lakini.
Twende taratibu kivipi wewe....Mimi naongea kwa Evidence ya maandiko wewe unaongea maneno matupuu..
Support you arguments with scripture...
Mpaka sasa huna hadhi ya kujadili...
Toa andiko wacha kuwa kama kasuku...maswwla ya sijui andiko...hata qiran ni andiko..
Nimelipenda hili swali....
Nini maana ya virgin? Tuanze na hapo.
Aisee wewe uko kama mimi. Hivi huyu Maria mbona ni kama amechukua attention ya watu kuliko hata Yesu mwenyewe? Kuna dhehebu fulani yaani wao muda wote salam maria salam maria!!! Jamani huyu alitumiwa na Roho Mtakatifu kumleta Yesu (Mungu) duniani na kazi yake iliishia hapo. Alikufa na anasubiri ufufuo kama wengine. Wengi hudhani yupo anaishi!!! No way!
Anayeishi ni Yesu, Musa, Eliya, Enok. Hao Biblia ilisema wazi kuwa wako Mbinguni wanaishi hata leo. Lakini Bikira maria???
Hebu wasilianeni na Yesu moja kwa moja bana mnaogopa nini sasa, hivi mnajua maana ya lile pazia jekundu kwenye synagogue kupasuka wakati Yesu alipokata roho? Maana yake ni ruksa sasa kuwasiliana na Yesu moja kwa moja si lazima kupitia kwa kuhani kama ilivyokuwa zamani. Maana zamani madhabahuni mtu alikuwa hatii maguu! Ila unaona siku hizi, kila mtu anafika!
Samahani lakini.
Jibu swali...how comes mpaka leo anaitwa virgin wakati ameshashiriki tendo???
Tunaishi kimapokeo sana, hatuhoji misingi ya yale tunayo aminishwa
Roho Mtakatifu ni Mungu...Tangu lini Mungu akamuombea mtu..? Ana muombea kwa nani..???Biblia inasema ROHO MTAKATIFU UTUOMBEA KWA KUKUGUA KUSIKO TAMKIKA MAANA SISI HATUJUI KUOMBA IPASAVYO.
Hakuna hata sehemu moja ambayo inaonyesha Maria hutuombea kule Mbinguni. Wanadamu wote wakiwa kule kazi yao ni kusifu na kuabudu, tu.
Jibu swali...how comes mpaka leo anaitwa virgin wakati ameshashiriki tendo???
Kama wew ni msomaji wa biblia usinge sema hayo uliosema. Nimesem kasome Mwanzo wakati wa uumbaji ungethibitsha hili,
Nimekupa andiko na kuku-direct vizuri wakati nakujibu..
Kama wewe ni msomaji wa maandiko dhihirisha umahiri wako kwa ku-site andiko...
Punguza porojo dogo..
Support your arguments with sacred Scripture......jibu maswali yangu usiyaepuke tafadhari.
Unataka evidenc kwenye andiko lipi ambalo unahisi nimelidanganya,
Roho Mtakatifu ni Mungu...Tangu lini Mungu akamuombea mtu..? Ana muombea kwa nani..???
Hivi unashirikisha akili yako unapoandika..??