Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
Na sasa hivi wanasema mgombea wa dema katumwa RC! Mungu tuepushie hila hizi
"hivi kwa nini mtu uendelee kuvaa nguo ilochafuka?
tena nguo ilo toboka toboka na kuchoka,
wakati uwezo wa kubadirisha unao,
tena hapahitaji mijeredi,"
Ngambo Ngali,Elezea msemo huo hapo juu, kwa kutoa mifano hai ya wananchi wa Tanzania, tokea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Ngambo Ngali,
hapo naamanisha hivi ni kitu gani kinamfanya mtu aendelee, kuithamini ccm kwa kuendelea kuiweka madarakani kama chama kinachoweza kumletea maendeleo, jambo ambalo ccm imeshindwa kulifikia
tangu kuiongoza nchi?
nimeifananisha ccm na nguo iliyotoboka toboka, ama imeisha chakaa na mmiliki wake ana ngou nyingine anayoweza kuivaa, lakini amekomalia hiyo tu, ni ukweli kuwa kuitambua ccm kama
imekwisha hakuhitaji elimu ya chuo kikuu, ama PhD, n.k
mtu unajaribu kuilazimisha akili yako hata kama imegoma kuisoma ccm, kuiacha pembeni hakuhitaji mijeredi wala adhabu
ushindi wa ccm, utadhihilisha kuwa nchi ina uwingi wa wajingaYeah, sometimes its really hard to understand how this old bull CCM wins elections...This time around mimi na wewe tutatumia haki yetu ya msingi kuiangusha ccm na i bet haitashinda.........