I'm really caught-up here

Wa chuga huyooooo
big up men, watu hatuko perfect 100 percent bhana watuachage kidogo
Hujambo dada langu ?? I wonder
how easy it is for us to point at each other and criticize one another’s shortcomings, flaws, and wrong doings?
While we are blaming and criticizing others, we are forgetting one important fact: when we point the finger at someone, three of them are pointed back to us
 
Be real have you never lied to her ???
 
hakika, kinachonichekesha mimi ni ile kuaga kila mahali
mimi siwezi jamani labda awepo hapo, nipo Arusha yeye yuko Dar naenda kunywa kongoro langu niage? loooh mateso bila chuki siwezi
 
hakika, kinachonichekesha mimi ni ile kuaga kila mahali
mimi siwezi jamani labda awepo hapo, nipo Arusha yeye yuko Dar naenda kunywa kongoro langu niage? loooh mateso bila chuki siwezi
hahaha inategemea na msingi mliojiwekea kama mlikuwa mnaagana then umeanza kutoaga lazima tuulize
 
Mkuu nimekuelewa sana unachoongea..Wife naye alikuwaga hivyo hivyo..Ila nikamnyoosha
 
hahaha inategemea na msingi mliojiwekea kama mlikuwa mnaagana then umeanza kutoaga lazima tuulize
mimi uzuri hakuna mahali nitakubaliana na misingi ya kuaga kila mahali maana nitakuwa muongo
nitasahau bhana nina mambo mengi kichwani, yeye aniage tu kama ndo anapenda
 
ya kutoaga kila mahali
Unaweza kutoka bila kuaga..Ila nikikupigia simu kutaka kujua uko wapi then ukasema upo sehemu flani wakati haupo hapo.. Hiyo ni shida kubwa kwangu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…