I'm Planning to Meet lara 1

公司在上海找中國區新總部的地點。看了好幾個工業園....


China, in Shanghai looking for a new headquarters location. Saw several industrial parks ....

alimaanisha hivi !!
 
AMU, ulikuwa akilini mwangu,nilitaka kumuuliaa hivyo!
Maana ss tutaogopa kuonana na watu hum coz tutaanzishiwa uzi hum,halafu yakawa yaleyale ya SAKAPAL...baada ya kufahamiana mawasiliano yakakata
Usiogope kukutana na watu wa humu ila cha muhimu ni ku set lengo zuri la kukutana, kama vile kufahamiana kwa urafiki wa kawaida, kushauriana au biashara nk, ila kama ni kuwa na wazo la mapenzi, mmmhh unaweza dhani mimi ni li handsome kumbe LoL ila kama ishu za kawaida sioni tatizo mbona hata maisha ya uraiani tunakutana na watu wa kila aina na ndio wengine tumo humu so what special humu JF.
 
公司在上海找中國區新總部的地點。看了好幾個工業園....



Kaka mkubwa mbona watuwekea Traditional Chinese...kulikoni!
 
China, in Shanghai looking for a new headquarters location. Saw several industrial parks ....

alimaanisha hivi !!

Ngoja nimwuulize rafiki yangu Li Xin nione kama kweli!
 
China, in Shanghai looking for a new headquarters location. Saw several industrial parks ....

alimaanisha hivi !!
Ndio raha ya JF jamaa amejitahidi kutumia chinese characters bado watu wameelewa nimejaribu naoana ilikuwa inaleta kwenye pinyin
 
Kaka mkubwa mbona watuwekea Traditional Chinese...kulikoni!

hahaha..nimebugi mkubwa wangu..that was not my intention kuweka hiki kichina hapa..
naona mkuu windowXP kashaweka translation yake hapo juu,

sorry sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii mechi ishaisha, ni 4 kwa 0 hii. Mchokoza mada hawezi rudi maana kishatolewa nock out siku nyingi sana, tena TKO. Angeanza Kiswahili kuliko kuazima kiingereza na aliyemuazima kalala hataki kuamka kumjibia.

U think so!
 
I want to hear a comment from Lara 1
 
hahahahahahahahaha
naona utaki kuendelea kutumia meno na kucha zako.
 

Englishhhhhhhhhhhh!
 
Naona umetumia supreme court language ili avutiwe na kweli technique yako imejibu huoni alivyofurahishwa kujua u 're a lawyer keeep on
 
Rule of the game "confidentiality"

Dah! Kweli law imebamba! Mala MISINTERPRETATION mala CONFIDENTIALITY. Angalia vi terminology usivimalize mapema. Bado nakuaminia kidume Lara 1 kitugani??? Mziki unauweza!!!
 
MESTOD don't adore English that way, utakuwa mtumwa bila kujijua (Anyway, do you really know English? I mean English!). Too kiddish (Hizi debate za english nimefanya nikiwa form two, tangu hapo I don't remember). I'm concentrating on what I'm looking, "short to the point". The point here is not English, the point is what I'm looking for!

Be careful, because you may try to portray to us what you have, but in real sense u don't!

One time I was one of interviewers for a bunch of guys; we wanted to find a right placement for some vacancy, so one came in for interview and she was very excited and looked smart:

After a couple of transactions between me and her, finally I asked:

Me: Do you have any extra skills apart from what is indicated in your CV?

Her: Yes

Me: Which skills?

Her: Computer

Me: Good, can you be specific?

Her: For example, I can chat on facebook, twitter, whatsapp, etc., I can even write emails and send them to people.

Me:

Life is so funny!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…