Wakubwa kwa wadogo Leo nimeona RASMI inanibidi kujiunga na jf kwa ajili ya kuzidi kujifunza mengi zaidi na kuburudika . Naomba ushirikiano kutoka kwenu
. Shukrani za pekee ziende kwa jirani yangu hapa home aliyeniwezesha kujiunga humu.

Nafikiri utakuwa umesoma terms and rules za kujiunga humu. Ukikiuka masharti na kanuni utakula ban ushike adabu. Huku sio kama kule ulipotoka, huku ni the great thinker, humu ni watu wenye akili kubwa usiwe na papara kupost vitu tulia ujifunze na ufundishwe nawe utakuwa mwenye akili kubwa