I'm looking for my life partner

Umechemsha, mtu siyo km gari unayoenda dukani ukiwa na specifications, hakuna binadamu aliyekamilika kwa 100%, unapooa kuna mambo inabidi uyapuuze kwa manufaa ya maisha ya ndoa. Fahamu kua walioko huku JF ni binadamu tu km hao uliopo nao huko mtaani, ukichagua sana unaweza ukose atakayekufaa.
 
Kwa vigezo hivi?Ndio maana huko mtaani umeshindwa kumpata huyo 'life partner'.

Na kwanini unafikiri hawa walioko humu sio hao ulioko nao mtaani?
Kwani members wa humu wana kijiji chao cha kusadikika?

All the best anyway.
Mkuu mbona vigezo nilivyoweka ni vya kawaida sana, kila mdada wa kawaida anaweza akavi- afford?
 
mbona masharti ni mepesi sana mkuu? Anyway nashukuru kwa mchango wako...
 
Mkuu wakikupm type mlejesho umepata wangap
 
Huyo unayepishana naye kila siku njiani anafaa sana acha uzege kijana
 
Hiyo CV yako uliwahi kuidisplay hapo mtaani ? Siku izi sekondar kila kata
Unakosaje wa elimu hiyo, hata walioko humu wametoka mtaani kwako, nisikukatishe tamaa omba mungu utapata tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…