I'm just thinking loud..!!

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
‎10 years ago..life had no complexity!
You need to make a move to a girl,pick one of whitney or celine's tracks,attach part of the lyrics kwenye a 500 sh card,relax at home subiria majibu in half an hour..whch are 98% positive!(Enzi hizi ni uwezo wako binafsi wa kuhendsamisha)
Sasa siku hizi kumpata mwanamke hata wa temporary utasema unafuatilia kuandikisha kampuni TRA
-msumbue FB (JF if exists)
-muombe dials
-mvalie pamba
-mpeleke icecream mlimani city
-mpeleke beach
-mnunulie vocha(kwao maduka hamna)
-mlipie kibajaji na marafiki zake
-mwisho anakuambia anakupenda so mvumilie amuache boyfriend wake(kumbe ulikuwa unahudumia mtu wa watu)
Umeanza kumtokea form III anakuja kukubalia chuo mwaka wa kwanza,boom likiisha mwezi unaofata anakutosa hadharani :(
Na bado hatukomi tu.. khaa..!!!
:lol::lol:
 
kama ni kweli oa kabisa
wanawake siku hizi ni 'gusa unate'
kama unawasha taa naye anawaka hapo hapo.
Kwa kifupi wa kufuatilia hawapo tena labda kama kapigwa na shida anataka kukuchuna tu katika kipindi hiki cha kuporomoka kwa shilingi
 
Just thinking out loud too.....Kongosho akija humu atasema "Boys ndo wenye swagga hizo,a man would never do all that" atafanya vya msingi tu..na ukiangalia kweeeeli..:lol:
...Hatahivyo in reality..mwanaume akimtongoza mwanamke,after ile 1st outing yao...tayar mwanamke anakuwa anajibu kama ni NO au YES. Hizo habari za kumsikilizia weeeeee...ni uongo tu kwa kweli hakuna jibu la kufikiria siku 3 au wiki jamaaani,imekuwa majibu ya typhoid..huh??!!
 
aiyaaaah..umeniwahi...:lol::lol:
 
Hahaha, wanawake wanakufundisha patience kwenye maisha. Ukimaliza chuo utafukuzia kazi zaidi ya mwaka na ukiajiriwa promotion might take forever. Practice ur skills baba!
 
alafu unajua hawa mie dawa yao moja tuu swali la muhimu..unatoa utamu?
akinitosa namcheki vizuri alafu usiku naenda mpigia nyeto...kesho nikipitana nae ...namfyonza huku nasema ah wewe nilishakukula utamu zamaaaaniiiiii akili mwangu.
 
ngoja nilale kabisa maana!!...?
 
alafu unajua ii story ndefu ndio inachangia kwa wanaume kuona kwamba mahusiano ni kama game/ revenge maana unahangaika money time ili kumpata sasa unaona hapa dawa yake moja nikishamchachua namtosa ili nae apate maumivu....wich to come think of it is just fair game...wao wanitia topo kwenye mifuko yetu sie twaweka matundu kwenye mioyo yao.
 
Hahaha, wanawake wanakufundisha patience kwenye maisha. Ukimaliza chuo utafukuzia kazi zaidi ya mwaka na ukiajiriwa promotion might take forever. Practice ur skills baba!

patience gani?.... no nation has benefited from prolonged warfare......resources are wasted, prices go up and morale wains all to the detriment of the nation.
sasa unfortunately nyie wanawake kutuendesha detriment ni kwamba mnaishiwa kuchezewa wengi wenu.
 
kama ni kweli oa kabisa
wanawake siku hizi ni 'gusa unate'
kama unawasha taa naye anawaka hapo hapo.
Kwa kifupi wa kufuatilia hawapo tena labda kama kapigwa na shida anataka kukuchuna tu katika kipindi hiki cha kuporomoka kwa shilingi

word.!
 
alafu unajua hawa mie dawa yao moja tuu swali la muhimu..unatoa utamu?
akinitosa namcheki vizuri alafu usiku naenda mpigia nyeto...kesho nikipitana nae ...namfyonza huku nasema ah wewe nilishakukula utamu zamaaaaniiiiii akili mwangu.

Dah.......!!! Kuna watu wanahitaji matibabu jamani, huu ni msongo kabisa wa kukataliwa/kukosa girlfriend.......mweeeh!!! Sasa ukimsonya kwani ye anapungukiwa nini??
 
‎10 years ago..life had no complexity!
You need to make a move to a girl,pick one of whitney or celine's tracks,attach part of the lyrics kwenye a 500 sh card,relax at home subiria majibu in half an hour..whch are 98% positive!(Enzi hizi ni uwezo wako binafsi wa kuhendsamisha)
Sasa siku hizi kumpata mwanamke hata wa temporary utasema unafuatilia kuandikisha kampuni TRA
-msumbue FB (JF if exists)
-muombe dials
-mvalie pamba
-mpeleke icecream mlimani city
-mpeleke beach
-mnunulie vocha(kwao maduka hamna)
-mlipie kibajaji na marafiki zake
-mwisho anakuambia anakupenda so mvumilie amuache boyfriend wake(kumbe ulikuwa unahudumia mtu wa watu)
Umeanza kumtokea form III anakuja kukubalia chuo mwaka wa kwanza,boom likiisha mwezi unaofata anakutosa hadharani :(
Na bado hatukomi tu.. khaa..!!!
:lol::lol:

heheheee. Ni vigumu kumpata mwanamke mwenye upendo wa dhati, kizazi hichi wengi wanapenda pesa. Naomba Mungu aniepushe, nimpate anipendaye kwa dhati. Hii dunia imeshaharibika. Huku chuoni madada hawafai. Wanatembea na vigogo na watu wazima wenye pesa.
 
alafu unajua hawa mie dawa yao moja tuu swali la muhimu..unatoa utamu?
akinitosa namcheki vizuri alafu usiku naenda mpigia nyeto...kesho nikipitana nae ...namfyonza huku nasema ah wewe nilishakukula utamu zamaaaaniiiiii akili mwangu.

we jamaa inabidi ukapimwe. Sasa ukimpigia nyeto yeye anakuwa amepata hasara gani zaidi wewe ndie unajiumiza tu? Utapiga nyeto mpaka lini? Yaani wewe ni sawasawa na mtu anayekula ugali, alafu hana mboga, anaamua kula ugali kwa kumfikiria samaki akifikiri amemkomoa samaki.
 
Just thinking out loud too.....Kongosho akija humu atasema "Boys ndo wenye swagga hizo,a man would never do all that" atafanya vya msingi tu..na ukiangalia kweeeeli..:lol:
...Hatahivyo in reality..mwanaume akimtongoza mwanamke,after ile 1st outing yao...tayar mwanamke anakuwa anajibu kama ni NO au YES. Hizo habari za kumsikilizia weeeeee...ni uongo tu kwa kweli hakuna jibu la kufikiria siku 3 au wiki jamaaani,imekuwa majibu ya typhoid..huh??!!

Hapo sasa, ni usumbufu tu usiokuwa na tija (Kama wanasiasa wa bongo walivyozoea kusema)
Sasa mtu anakuwa analojibu tayari lakin anataka akusumbue weeeee ili tu usimuone kuwa cheap matokeo yake muda mfupi tu baada ya kukubali mambo huwa yanabadilika na huwa mabaya sana kwa upande wao...!
 
alafu unajua ii story ndefu ndio inachangia kwa wanaume kuona kwamba mahusiano ni kama game/ revenge maana unahangaika money time ili kumpata sasa unaona hapa dawa yake moja nikishamchachua namtosa ili nae apate maumivu....wich to come think of it is just fair game...wao wanitia topo kwenye mifuko yetu sie twaweka matundu kwenye mioyo yao.

That's that broda.., hakuna lingine...!!
 
heheheee. Ni vigumu kumpata mwanamke mwenye upendo wa dhati, kizazi hichi wengi wanapenda pesa. Naomba Mungu aniepushe, nimpate anipendaye kwa dhati. Hii dunia imeshaharibika. Huku chuoni madada hawafai. Wanatembea na vigogo na watu wazima wenye pesa.

Mkuu kumbuka tupo ndani ya hiyo hiyo dunia inayobadilika, cha msingi ni kuendana nayo tu. Just do anything that can neutralize hiyo situation ili umaintain balance of th Nature.
 
though love is about giving but ask yourself are you not bribing her to share what is preciously between her lovely legs?

Mkuu lets be honesty bana, chochote ufanyacho cha kumpumbaza ili akugeukie it's already a bribe may be in another name. So bribing so that we can share what is between her lovely legs, mengine kama yapo yatafuata baadaye. Remeber satisfy yourself kwanza then wengine later...)
 
Back
Top Bottom