Midekoo imagine simu aina ya Iphone 15 Pro unaivesha cover la leather na screen protector imara kwanini ??? Kwa sababu umeinunua kwa pesa nyingi sana. Kwanini hata miili ya Wadada wengi isijistiri kama huyu Muslimah kwa hii picha au Miili yao haina thamani kama Iphone? π€
My thoughts.