Im Just a Girl

Abaya ni nzuri zaidi kuliko hii β˜οΈπŸ€”
View attachment 3092426
Midekoo imagine simu aina ya Iphone 15 Pro unaivesha cover la leather na screen protector imara kwanini ??? Kwa sababu umeinunua kwa pesa nyingi sana. Kwanini hata miili ya Wadada wengi isijistiri kama huyu Muslimah kwa hii picha au Miili yao haina thamani kama Iphone? πŸ€”
My thoughts.
 
Hakika Stara inapendeza Kwa Kila mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…