Umefungua nyingine hii ndo dawa yao wakikupa Ban.
jina lako halisound kiromantic itakuwa ngumu kumdaka
Hahahahaha!jina lako halisound kiromantic itakuwa ngumu kumdaka
Hahahaha. Pole Mjuni Lwambo...ujue kila sheitwani na mbuyu wake! Mwenzio ndio kama hivyo kafa kaoza.Huyu lara1 mi naonaga ananiboa tu na mi thread yake ya ajabu ajabu, msimpe kichwa sana sio ki viiile.
Poa sana, nimeshnda lkn!
Hahahaha. Pole Mjuni Lwambo...ujue kila sheitwani na mbuyu wake! Mwenzio ndio kama hivyo kafa kaoza.
Hahahaha, ndio mana kila shetani na mbuyu wake mpendwa!Unajua nini sweetlady, ukitaka kuwateka watu ni simple sana, kwenye maandishi yako weka vikolombwezo vingi vingi, mara mialama ya kushangaa mstari mzima mara mi nukta nukta na midude mingine ya ajabu ajabu, wadau wataona umeandika point sana kumbe hamna kitu, ongezea na maneno mengimengi ujaze page, lara1 ndio anawakamata kihivyo.
Hi dady!kubwa la maadui....hahahah utaliweza
Nakikubali kiwanja cha CC ni noma...
Nakifagilia sana... Live long CC!