i'm fed up it's my time now....

wewe ukikutana na lara1 itakuwa mechi ya ukweli...madrid na barca vile. sasa sijui nani ataibuka kidedea na nani atalia kama mtoto

hahahahahahahah
akanana lara 1 huko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Haha hahaaaaa yani umenichekesha sanaa!

Nafikiri we unahitaji maombi lolz.. Kabla hujaenda kuukwaa kwa kudhamiria..

Wachaga wanasemaga.. Tema mate chini.. Plan gani ya kipuuzi namna hyoo????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
toka nimeanza mahusiano ya kimapenzi sijawahi kumtenda mtu sasa ni zamu yangu kukamilisha circuit, i swear watajuta sasa naanza kutumia meno yangu effectively i'm not a potential hubby until mission is completed.

Ndege mjanja hunaswa katika tundu bovu, you might act like a politician in a mission, then you eventually find yourself in prison
 
Sio ishu ya kuwa lucky
Now you are growing up, experience ni mwalimu mzuri sana.

ivi Kongosho whats going on here? Mi sielewi what has become of MMU threads za ajabu ajabu siku hizi kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
toka nimeanza mahusiano ya kimapenzi sijawahi kumtenda mtu sasa ni zamu yangu kukamilisha circuit, i swear watajuta sasa naanza kutumia meno yangu effectively i'm not a potential hubby until mission is completed.

Naona umechoka kuchunwa sijui umefulia?
 
ivi Kongosho whats going on here? Mi sielewi what has become of MMU threads za ajabu ajabu siku hizi kulikoni?

Taifa halina mitaala unategemea nn? Kheri yenu mlio soma enzi za mwalimu.
 
Last edited by a moderator:
Haha hahaaaaa yani umenichekesha sanaa!

Nafikiri we unahitaji maombi lolz.. Kabla hujaenda kuukwaa kwa kudhamiria..

Wachaga wanasemaga.. Tema mate chini.. Plan gani ya kipuuzi namna hyoo????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

najua hii mission wadada wengi wataicrash lakini nimemade up my mind nafikiri hii hatua imefikiwa na wanaume wengi wa leo.....let me join them
 
Taifa halina mitaala unategemea nn? Kheri yenu mlio soma enzi za mwalimu.

hahaha mpwa enzi za mwalimu zilikuwa nzuri sana si unakumbuka kulikuwa na vitabu shule? Juma na Roza, chakubanga, lol
 
Take ur time and think!
.. kulipiza kisasi kwa mtu asiye nahatia si jambo zuri ndugu yangu.
.. kuna maradhi, mengine yanaweza kukupata hata ukiwa mwangalifu, mipira yenyewe hii.
.. kuumizwa kihisia ndio kukua na kunaongeza upeo wa kutatua matatizo, na si kwa njia unayotaka kutumia.

Kaa chini na ujaribu kufikiria, Mungu hapendi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…