im confused.....nisaidieni wadau

im confused.....nisaidieni wadau

nkandereni

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
6
Reaction score
8
habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie
 
Pole sana!
Wewe jiandae na Masomo tu! Ukisafiri tu unajipangia kabisa kwamba wewe ni Single lady!!
Once a cheat....!
 
mbona majibu yote unayo jamani unataka tena ushauri gani? jiponye majeraha yako ushaachwa hivo ...kasome zako mambo mengine mbele ya safari hukohuko
 
chukulia kama ndio tabia zenu wote maana nimeona ex, ex ziko kibao jiulize mpo wangapi?
 
Kuna mtu aliniambia eti.......ukimuona paka anakukimbia.......ujue keshafunua chungu chako........hivi ni kweli Smile.....?.....wewe umeshawahi kumuona paka akikukimbia.......?
 
Last edited by a moderator:
anakupotezea tm bure!! Kasome zako asije kutia stress ukashndwa kusoma vizur mwaya!
 
What i'm going to say is that 1 Year of your life is nothing compared to your lifespan,

it's a blink of an eye so to speak. You haven't lost the love of your life,its A BOYFRIEND SO KAJISOMEE ZAKO TU!!!!!
 
We kaa nae umwambie na evidence muoneshe n then ndo pakuachana nae hapo na kufanya mambo yako mengine ya kimaisha zaidi.
 
BF wako anatembea na shosti wa X wake...

Wakati huo huo huyo X wa BF wako bado anataka wakumbushie na BF wako...

Shahidi wa hiki kiloja chote ni X wa BF wako...

Mwisho wa siku umemuamini X wa BF wako...

Nikiunganisha dots Bi Mkubwa naona uwezo wako wa kufikiri ndio umefika mwisho hivyo...and you're the centre of all the confusion
 
na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie

Sidhani kama ni 'kibaya' zaidi...mimi nadhani ni 'kizuri' zaidi, kwa sababu hiyo itakusaidia kumsahau kwani utakuwa mbali naye. Na 'kizuri' zaidi kingine ni kuwa..amini husiamini, kusafiri nje kwa muda mrefu (yaani mwaka au zaidi) ukiwa 'single' ni raha sana, kwani una chand=ce ya kuexplore a lot bila 'hard feelings'. Mpenzi ya mbali (distant relationship) ni magumu sana, na wewe umepata nafasi ya kuyaepuka kwani jamaa kajitoa mwenyewe...enjoy your time there!
 
Changamoto kuwa kwenu wadada, Mkipenda mmependa na hata ukioneshwa dalili kuwa hutakiwi huwa mnaziangaliaga kwa kengeza. Ona sasa yaani hapo bado unaendelea kujiuliza maswali tena wakati picha liko wazi. unataka hadi umfumanie ndio uone hakutaki tena? sio lazima kila kitu uambiwe. We learn by observing, seing, sensing etc.

You are the boss of your own. be critical of your feelings. Love is not a feeling, it is decission. if it was a feeling, then it is very temporal. However that is not what its meant to be.

habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie
 
habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie

Thread yako iko kitotototo bhana
 
Confusion inatoka wapi sasa?ushasema moyo wako umechefuka na huna hamu naye tena, fanya yako mama!
 
pole sana , huna sababu ya kuwaza wala kujiumiza kuwaza hapo inaonyesha mwenzako keshafanya maandalizi ya nini afanye ukishasafiri kwenda masomoni .. cha msingi kaa kimya jiandae na safari yako ...
 
BF wako anatembea na shosti wa X wake...

Wakati huo huo huyo X wa BF wako bado anataka wakumbushie na BF wako...

Shahidi wa hiki kiloja chote ni X wa BF wako...

Mwisho wa siku umemuamini X wa BF wako...

Nikiunganisha dots Bi Mkubwa naona uwezo wako wa kufikiri ndio umefika mwisho hivyo...and you're the centre of all the confusion
Think about it. . . .

Pengine eXie wa jamaa hajawahi kutaka warudiane ila aligundua jamaa ana mahusiano na rafiki yake, akachukia na kutishia kummwagia mboga kwa mpenzi wake wa sasa. Jamaa kuona hivyo akajihami kwa kumwambia mpenzi wake "eXie wangu anataka tukumbushie" ili lolote likitokea asiwe na kazi ya kujitetea. Ni kiasi tu cha kusema"hamna ukweli wowote, ananizushia tu kisa nilikataa kuDoo nae."

nkandereni jione mwenye bahati sana. Kwanza umegundua jamaa hajatulia, pili umegundua kwa muda muafaka. Hiyo safari yako will make your breakup so much better maana hutopata maumivu ya kuonana nae mtaani wala na kusumbuana kwenye simu. Alafu usisubiri kuachwa, utashindwa kusoma huko uendako.

DUMP HIM and MOVE ON!!!
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama unaweza kueleweka kirahisi wewe

Hebu ngoja nirudie kusoma!!!!
 
za kuambiwa changanya na za kwako.......
 
habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie
dada pole sana ndo ukubwa huo kwahiyo mwenyewe unasubiri akwambie mimi na wewe basi ndivyo?ni wachache sana wenye hekima hiyo nikiwemo mimi.dada kusoma hujui hata picha huoni?sikia angekuwa mume ningekushauri zungumza naye wala husiachane naye ila boyfriend lo!utatafuta vidonda vya tumbo bureeee mwishoni vidonda vya tumbo viamie mgongoni na hata hayo masomo huyaone magumu.ukisubiri akwambie waweza kujiua bure jipange fanya maamuzi yaliyosahii najua jinsi gani utaumia hila vyema wewe kamtamkie mimi na wewe basi kabla yeye hajakutamkia nahisi mtu wako ni tamaa tu ndo inampelekesha hivyo kuna mambo fulani atavimisi endapo akikwambia muachane maskini nakuonea huruma sijui ulikuwa na tabia ya kujitoa mno kwake kuliko yeye alivyojitoa kwako?tambia kuwepo yeye kwake kwa fanya wanaume wengine wenye kujua kupenda na kupendwa wasitoe yaliyomo moyono mwao.mama kapige buku ila kumbuka ukisha mwingiza mwanaume/ mwanamke jua umeingiza ibilisi sasa akishakamata moyo wako utapata shida sana endapo hukaendeshwa vibaya.mama kasome ondoa huyo ibilisi ulomkumbatia na Mungu akusaidie sana
 
Back
Top Bottom