im confused.....nisaidieni wadau

im confused.....nisaidieni wadau

Kuna mtu aliniambia eti.......ukimuona paka anakukimbia.......ujue keshafunua chungu chako........hivi ni kweli Smile.....?.....wewe umeshawahi kumuona paka akikukimbia.......?
ahaaa preta wangu nilishawai kuona!hata mimi alishanikimbia akijilamba lamba kwa utamu huku mimi akiniacha nalia na njaa! ila sikumkimbiza wala nini niliachana nae nikatafuta nyama ingine nikaweka kwenye chungu!
 
......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi
.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada
.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea

Baada ya kutokuridhika na hivi vimbwanga ukaendelea kujipa tu mawazo

............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya


Si amekuambia kwa vitendo huelewi?
...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo


Ukirudi unamkuta amemmimba ndio utatia akili!
......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena


Umechelewa
Ilitakiwa uwe umeshaachana nae na muda uliotumia kuleta hii kitu hapa ungeutumia kulala au kufanya maandalizi ya safari yako!

......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie

Usimuache endeleeni kudanganyana tu!!!!!!!!!!
 
nkandereni
Katika anidiko lako already kuna conclusion unataka nyingine ipi, kama vile sikuelewi dada, na hasa unaposema unaenda masomoni nje soon huenda ndio kimemfanya akumbuke nyuma.

Nenda shule dada, hicho kikojoleo kitapata chenzake huko mbele ya safari, wala huna haja ya kuhofu, songa mbele na maisha yako, hapo ndio hivyo tena imebaki story kama livyo story nyingine.
 
Last edited by a moderator:
habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie

Dadake kasome tu kwanza, kaka zetu wapo.
 

za kuambiwa changanya na zako
usimuamini huyo ex wa bf wako
fanya uchunguzi kivyako,huenda ni mbinu
ya kuwatenganisha tu hana lolote!!
 
Dada nakushauri usahau huo uhusiano ni njia panda concetrate na masomo yako mwombe mungu akupe anayekustahili.
 
hivi mpaka mwanaume akwambie kwa mdomo kuwa hakutaki!!!!???
 
Back
Top Bottom