Hivi kumbe mkonga unatakiwa ukae uelekeo wa kutizama juu eeehh.... sasa mbona wanaoweka ndani ya sarawili mkonga unaelekea chini?....
Hata sielewi nimeuliza nini... wacha nitoke kabla sijaharibu...
Kweli kabisa. Kuna nchi kama nne zenye jina Guinea. Equatorial Guinea, Guinea Bissau, na Guinea yenyewe, hizi ziko Africa. Ila Papua New Guinea iko Assia nadhani. Ni kisiwa sema watu wa asili ya huko ni weusi weusi kama huyo mzee.