I'M COME FROM AFRICA

Troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,834
Reaction score
40,649
Mfalme wa Guinea akiwa ametulia zake ndani ya mkutano wa UN akisikiliza kwa Makini kinachojiri huku akiwa amejivalia vazi la kwao Maarufu kama Voodo....Hana Habari.
 
Anatuzalilisha wa Afrika ,anajiamini kama anataka kuwakomoa wazungu vile! Wazungu wenyewe hawana habari naye.
 
Anatuzalilisha wa Afrika ,anajiamini kama anataka kuwakomoa wazungu vile! Wazungu wenyewe hawana habari naye.
Hakuna alipotudhàlilisha mkuu. Huo ni utamaduni wetu. Tunatakiwa tujivunie
 
Nadhani kuna nchi inaitwa sijui Guinea Papua au Papua guinea na wala haiko afrika mleta mada kachanganya...
amefanya haraka bila kuangalia vizuri
ni hawa alimaanisha
 

Attachments

  • upload_2017-5-19_17-28-59.jpeg
    11.9 KB · Views: 61
Nadhani kuna nchi inaitwa sijui Guinea Papua au Papua guinea na wala haiko afrika mleta mada kachanganya...
Kuna Guinea,Equatorial guinea,Guinea Bissau zote zipo africa na papua New guinea ipo Australia nadhani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Big up kwake!!!
 
Yaani we kichwa, maji kweli.. Kwani UK si ina, malkia na bado kuna PM? Uwe unatulia kidogo kuchambua vitu..
NARUDIA- NCHI ULIYOSEMA GUINEA HAINA MFALME.. HAO WANAOVAA HIVYO NI NEW PAPUA. jografia SIFURI halafu unakuja juu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…