Acha uchokozi amesharudi ila hayupo kama wewe saivi upo online . Unakesha anaenda Kwa ratiba.
Akitoka job kuoga,kuomba kula ,taarifa ,kunifanyia massage ,kulala kesho siku ,maombi,mazoezi,kula,kazini,mchana anarudi home kula ,maombi ,kulana,kazini hadi saa kumi na mbili.