Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
- Thread starter
-
- #61
Yaani kwanza nimefurahia ujio wako my dear Vin Diesel,,,,,,nimefurahi mpaka nikaishiwa na cha kusema......ndio mana umeona nagonga like tu.......Karibu sana sana darlin'......ukishakaribia mpaka ndani utanikuta nimenuna mpaka unambie ulikuwa wapi.....
Hehehe acha kunichekesha klorokwini, hivi kweli unataka nimtabasamie wakati aliondoka bila kuniaga?heheeh tartiib chwitiledi, utamfukuza tena lol
Hehehe acha kunichekesha klorokwini, hivi kweli unataka nimtabasamie wakati aliondoka bila kuniaga?
Kama sio wewe kunifariji kipindi chote cha mpito si ningekunywa sumu?....lol Na akijaribu kuondoka tena akirudi atakuta tushafunga ndoa! Ajaribu aone.
Hata ukinipenda Vin Diesel sicheki wala sitabasamu mpaka unambie nini kilitokea......
Nilikuwa nimeiacha chumbani lol....dah poa nimekumiss uko mbali na ya mkononi?
Hehehe acha kunichekesha klorokwini, hivi kweli unataka nimtabasamie wakati aliondoka bila kuniaga?
Kama sio wewe kunifariji kipindi chote cha mpito si ningekunywa sumu?....lol Na akijaribu kuondoka tena akirudi atakuta tushafunga ndoa! Ajaribu aone.
Erickb52 hivi kumbe sikukuambia kuwa Vin Diesel ndie alikuwa mume halali wa ndoa afu akanitoroka?...nitafute nikupe khabari kwa kirefu.hivi ndio unajiandaa kumwaga Nitonye au
Easy dearest one sweetlady....nilipotea kupambana uso kwa uso na watu kama kina klorokwini....
Sasa nimeshaliminate wapinzani wote....hawa kina Erickb52 wala hawanitishi....
Hata ukinipenda Vin Diesel sicheki wala sitabasamu mpaka unambie nini kilitokea......
Love you honey!
Erickb52 hivi kumbe sikukuambia kuwa Vin Diesel ndie alikuwa mume halali wa ndoa afu akanitoroka?...nitafute nikupe khabari kwa kirefu.
Nimeahirisha kwaajili yako, sitamwambia tena.Usimpe basi siri za familia yetu love.....
Love you more baby....nakupenda dunia nzima.....lol